Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise...
Nini kifanyike kuzima uvumi huu wa kufedhehesha sasa, tusaidiane tafadhali...
Zaidi sana,
tujitahidi kula vyakula mchanganyiko vya kutosha, kushiriki mazoezi mara kwa mara ili kuweka utimamu wa mwili safi na sawa, lakini pia ili kuwa na stamina katika kustahimili game ipasavyo na tena bila kuchoka halafu ni zaidi ya hizo raundi tatu zinazolalamikiwa..
Usisahau kula matunda, kunywa maziwa fresh na maji ya kutosha mara kwa kuimarisha afya yako 🐒
Nini maoni yako