Haya malalamiko ya sijui sasa hivi sasa wanaume hawaendi zaidi ya bao tatu mmeyasikia ndugu zangu?

Bongo vilaza ndio wanaotaka na kupata madaraka...
wenye mapungufu ya nguvu za kijinsia mmekua wakali dah ๐Ÿคฃ

mnakuja kufanya nini sasa huku ndrugu zango kama sio kujiongezea matatizo zaidi?๐Ÿ’
 
bao tatu kwa maisha ya sasa inabidi uwekeze kwenye vitu vingi sana, kuazia afya ya akili, lishe unayokula,usiwe na hofu na shaka na uyo mtu unapiga, mambo yako yanaenda hasa ya kiuchumi,,hapa nafumua mtoto wa ntu hata 10
umeongea point ya maana sana, nzito na muhimu mno halafu umeisema kwa hisia na uchungu makubwa sana...

mbinu hizi wengi hawaelewi lakini ni muhimu sana kwakweli kuzingatia mawaidha ikiwa mtu angepedelea kwenda zaidi ya hizo tatu bila tashwishi yeyote,

well done gentleman ๐Ÿ’ช๐Ÿ‘Š
 
Linaweza kuwepo tatizo labda, lakini hiyo sio hoja. Hoja ya msingi ni nini chanzo?

Kama ajali tu inaweza kusababishwa na ubovu wa gari, uzembe wa dereva, ubovu wa miundombinu.

Kumekuwa na tatizo la ubovu wa miundombinu kwa dada zetu, unaweza kwenda na usitamani kurudi.
Mambo yako mengi tu
 
Muhimu ukojoe tena kamoja kasicho na misuguano na ikiwezekana sekunde Tano au tako tatu tu zinatosha.

Mtanishukuru sana
 
nini kifanyike kufikia bao moja kwa hizo dk45 kwa mfano ๐Ÿ’
Usikae siku nyingi hujagegeda, gegeda mara mbili kwa wiki au hata mara tatu. Vingine vya kuongeza ni mazoezi ya miguu kama kukimbia, kichura chura na squats.
 
Ukitaka kufeli kwenye maisha wasikilize wanawake dokta mwaka anauza dawa na kaachwa mke wake alisema kwasababu jamaa alikuwa bize na kazi kuliko mke wake mwanamke hajui anataka nini hyo kitu inapigiwa promo tu ili wajanja wapige hela tena wanaume wa dar mikoani huwezi kuta ujinga huo.
 
aise,
mbona unasema ukweli mtupu gentleman
 
Bao
3 kwa papuchi gani? Hizi hizi zilizotumika kupita kiasi? Zisizo bana? Tunaweza kupiga hata bao 5 kutegemea na kiwango cha papuchi, lakini kwa hizi tunazokutana nazo, aisee moja tu linatosha
 
Bao

3 kwa papuchi gani? Hizi hizi zilizotumika kupita kiasi? Zisizo bana? Tunaweza kupiga hata bao 5 kutegemea na kiwango cha papuchi, lakini kwa hizi tunazokutana nazo, aisee moja tu linatosha
aah fundiiiiii, si mchezo dah
 
wanaume tupo mikoani huku nyie wa dar wachumba tuu.

kumer tunaila hadi inavimba inakua nyekunduuuuuuuuuuuu

jitu linaishi nademu/mke miaka mitano wana katoto kamoja๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•kumer mnaichezea nyie wadar
 
Naas Akoo, maoni yangu ni kwamba wanaume wamekinai kisa mizinga
 
Takataka wewe nawe ni kiongoz?
 
Takataka wewe nawe ni kiongoz?
uongozi unahusika vipi hapa gentleman, ?

umekosea jukwaa au ndio kwanza umeongeza salio la mihemko binafs na huku una tatizo la nguvu za kijinsia linalokuzonga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ