Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Tafuta hela ndugu,usishindane na ulikotoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise...
Nini kifanyike kuzima uvumi huu wa kufedhehesha sasa, tusaidiane tafadhali...
Zaidi sana,
tujitahidi kula vyakula mchanganyiko vya kutosha, kushiriki mazoezi mara kwa mara ili kuweka utimamu wa mwili safi na sawa, lakini pia ili kuwa na stamina katika kustahimili game ipasavyo na tena bila kuchoka halafu ni zaidi ya hizo raundi tatu zinazolalamikiwa..
Usisahau kula matunda, kunywa maziwa fresh na maji ya kutosha mara kwa kuimarisha afya yako 🐒
Nini maoni yako
Uko sawaaaaMsimamo ni hakuna kurudia, km na yy anataka aridhike basi atoe hela. Haiwezekani nimtongoze, nimtumie nauli, nimlishe, nimnyweshe nilipe Lodge, nimuachie kifuta Jasho afu nipambane kumridhisha yy tu..
Ni wanaume wote kuamua kumute tu..tuwaache wanawake waongee wee...sio kuhangaika nao..maisha yenyewe yanatuendesha vibaya sqna....sasa wanataka mechi zenye mabao mengi..khaaa..wanataka pesa wanataka na mabao mengi..aah tutachoka sana.Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise...
Nini kifanyike kuzima uvumi huu wa kufedhehesha sasa, tusaidiane tafadhali...
Zaidi sana,
tujitahidi kula vyakula mchanganyiko vya kutosha, kushiriki mazoezi mara kwa mara ili kuweka utimamu wa mwili safi na sawa, lakini pia ili kuwa na stamina katika kustahimili game ipasavyo na tena bila kuchoka halafu ni zaidi ya hizo raundi tatu zinazolalamikiwa..
Usisahau kula matunda, kunywa maziwa fresh na maji ya kutosha mara kwa kuimarisha afya yako 🐒
Nini maoni yako
nimewahi kuskia, tena si hivyo tu nimewahi kuambiwa pia kwamba bao lenye nguvu lililokamilika na virutubisho vyote ukikojoa hilo ni mwendo wa mapacha linatengenezwa kwa siku 21,Tatizo ni mpakeaji wa hayo mabao, mabao hayatupwi tupwi mkuu.. Hivi hujasikia BAO moja ni sawa na kukimbia KM5. Sasa mtu ukimbie KM15 hovyo hovyo tu.
Wanaume tubadirike tunajiumiza wenyewe kwa kusikiliza hizi kelele..mabao mengi yanakumaliza wala sio afyanimewahi kuskia, tena si hivyo tu nimewahi kuambiwa pia kwamba bao lenye nguvu lililokamilika na virutubisho vyote ukikojoa hilo ni mwendo wa mapacha linatengenezwa kwa siku 21,
so,
hii inamaanisha bao sahihi ni siku 21, wakati we kila wiki unakojoa mara 12 bado Nyeto dah 🐒
Naunga mkono hoja usikubali kua mtumwa akitaka lizishwa alipie na yeyeMsimamo ni hakuna kurudia, km na yy anataka aridhike basi atoe hela. Haiwezekani nimtongoze, nimtumie nauli, nimlishe, nimnyweshe nilipe Lodge, nimuachie kifuta Jasho afu nipambane kumridhisha yy tu..
😂😂😂😂Tatizo ni UTI
Na walijuaje zinapanda idadi?kwani Sheria ya bao tatu nani aliitunga??
mwanamke ni kiumbe hatari sanaNa walijuaje zinapanda idadi?
Mwanamke hahitaji mabao mengi, anahitaji bao moja ambalo ni refu, bola umpige bao moja litalochukua dakika 45 kuliko kumpiga mabao matatu yanayochukua nusu dakika kama jogoo.Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise...