Haya malalamiko ya sijui sasa hivi sasa wanaume hawaendi zaidi ya bao tatu mmeyasikia ndugu zangu?

Haya malalamiko ya sijui sasa hivi sasa wanaume hawaendi zaidi ya bao tatu mmeyasikia ndugu zangu?

Vijana wanaanza ngono kabla ya muda sahihi so wanapata uzoefu kuliko kawaida inapofika muda sahihi wa kungonoka wamechoka.
Hata Ke waliyokuwa wanakojoa wanaacha vishimo 🤣🤣🤣siku hizi kuwapata nadra!
 
mabao matatu sawa na idadi ya ndoma.. wapo sawa kabisa.. waendelee kulalamika tu watafikiwa mda si mredu na bwana pepsi
 
Inategemea dem gani mke ama hawa wakumalizia upwiru tu,,,,kama hawa wa upwiru watu sahv hawataki kujichosha kamaliza chake anasepa maana hata madem wenyewe nao wanakuaga tu wamekuja ili kusaka pesa ila sio kupewa burudani
umeongea point nzito ya maana sana kwa hekima na uchungu mwingi sana gentleman 👊💪
 
Vijana wanaanza ngono kabla ya muda sahihi so wanapata uzoefu kuliko kawaida inapofika muda sahihi wa kungonoka wamechoka.
Hata Ke waliyokuwa wanakojoa wanaacha vishimo 🤣🤣🤣siku hizi kuwapata nadra!
umeeleza jambo jipya kubwa, zito la maana na la umuhimu mkubwa sana ambalo halisemwi sana lakini ni miongoni mwa vyanzo vya tatizo hili linaloongezeka ukubwa kila uchwao 🐒👊💪
 
Mwanamke hahitaji mabao mengi, anahitaji bao moja ambalo ni refu, bola umpige bao moja litalochukua dakika 45 kuliko kumpiga mabao matatu yanayochukua nusu dakika kama jogoo.
nini kifanyike kufikia bao moja kwa hizo dk45 kwa mfano 🐒
 
Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise...

Nini kifanyike kuzima uvumi huu wa kufedhehesha sasa, tusaidiane tafadhali...

Zaidi sana,
tujitahidi kula vyakula mchanganyiko vya kutosha, kushiriki mazoezi mara kwa mara ili kuweka utimamu wa mwili safi na sawa, lakini pia ili kuwa na stamina katika kustahimili game ipasavyo na tena bila kuchoka halafu ni zaidi ya hizo raundi tatu zinazolalamikiwa..

Usisahau kula matunda, kunywa maziwa fresh na maji ya kutosha mara kwa kuimarisha afya yako 🐒

Nini maoni yako
Unawaza ngono tu mzee wangu
 
Kwamba hata yanga inawazidi.....
 
Unawaza ngono tu mzee wangu
kama una tatizio la afya au nguvu za masuala ya kijinsia lazima upate mihemko tu, pole gentleman 🤣

saaa zingine jizuieni basi kuingia humu dah 🐒
 
Back
Top Bottom