Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

Hebu subiri kwanza, huyo kijana ana bwana Zanzibar anampa pesa nyingi?? 😥

Na mama yake anaona kawaida kijana wake kuwachamba na kuwatukana wamama wenzie?? 😳
Huyo mama ndio wa kulaumiwa malezi yake mabovu..!!
 
Yaani huyo kijana hapo alipokuja ni kwa shosti wake ambaye huyo mdada kwa hiyo huyo kijana hapo ni kwa mama wa shoga ake ila mama hajapiga marufuku ndiyo anamruhusu na kijana kabisa
 
Zoezi la kuwafuta ******* serikali ituachie raia uone kama watabaki
Utashangaa kwenye Sherehe walivyojazana humu kwenye sehemu za starehe wapo kama wote, huwa naumia zaidi kuona wanawake wenzangu wakiwa wanawafurahia sana hawa watu kwanini tusiwatenge angalau wanaweza kubaki wapweke pengine watabadilika
 
Hapo kati yenu bila shaka wamama wapumbavu walikuwa wa kutosha lazima hao wamama na uenda na wewe mnamiliki kadi za ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…