Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

Wanaanzaje kwa mfano
Haujui kuwa kuna baadhi ya watoto wa kiume wanazaliwa na homoni za kike, hivyo akibalehe anaanza kuvutiwa na wavulana wenzie. Vilevile hata kwenye malezi unakuta mtoto wa kiume anakaa muda mwingi na mama na dada akienda shule ana marafiki wa kike, anaanza kutamani wanavyofanya na kufanyiwa wanawake mwisho wa siku anataka na kuanza kujiweka kikike kike na yeye anatafuta bwana ndiyo hapo michezo inapoanza
 
😔🙁😥
 
😔🙁😥
Huwa inaumiza sana mkuu haya mambo yasikie tu na kuona kwa watu wazazi wenye watoto ambao wanajulikana kuwa na hizi mienendo wanaumia mno cha kufanya hawana na watoto ndiyo washaharibika.

Kama huyo kijana hapo kwenye hiyo story nyumbani kwao maisha safi mzee wake mkali hatakagi huo ujinga kabisa huwa anamfukuza hadi nyumbani lakini mama anamkingia kifua, sasa najiuliza mtoto pesa nyumbani zipo huko anahangaika nini, ni kwamba kashazoea kuacha ni ngumu😢🙌
 
Ila some time inafika hatua, inachosha, Gays hasa Bottoms kujishaua na kujiweka hae hae kwenye shughuri, hatukatai mtu kuwa B ila epuka kuwa kikwazo kwa wengine.

Afu mbna simple tyuh mtu kuishi life lako, hukuti kero zikikufata, raha ya shoga, ujimudu, uwe na kitu cha ziada kinakubeba, mbona hadi straight watakufata.

Shida Gays wengi hawana ELIMU. lol
 
Back
Top Bottom