Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

Ila some time inafika hatua, inachosha, Gays hasa Bottoms kujishaua na kujiweka hae hae kwenye shughuri, hatukatai mtu kuwa B ila epuka kuwa kikwazo kwa wengine.

Afu mbna simple tyuh mtu kuishi life lako, hukuti kero zikikufata, raha ya shoga, ujimudu, uwe na kitu cha ziada kinakubeba, mbona hadi straight watakufata.

Shida Gays wengi hawana ELIMU. lol
Kwahiyo unakubaliana nalo hilo swala mradi wajipende??
 
Ukweli lazima usemwe, hata km unauma.
Ushoga hauwezi koma au kuisha, na haujaanza sasa, uko toka zamani.

Muhimu ni wao wahusika kutojiweka hadharani, kwani inakera wengine, ila wakiwa kimya na mambo yao mbna fresh tyuuh.
Hivi ukigundua mtoto wako anafanya hivi vitendo ila haonyeshi wewe kama mzazi utaona fresh tu kwakuwa anafanya kimya?
 
Back
Top Bottom