Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Wapi hukoNjoo huku kwenye uzi mpya
Wapi hukoNjoo huku kwenye uzi mpya
Lakini posti zake nyingi zinaonyesha anasapotiKweli mimi mgeni ngoja aje atujibu
We kikubwa vunga tu dilli na mambo yako hayo mengine waachie wahusika wenyeweWana jukwaa habari za wakati huu, ni matumaini yangu mu wazima. Huwa nashea mambo yanayotokea kwenye jamii yangu kama ilivyo ada.
Hapa ninapoishi kuna mmama jirani yangu ana watoto watatu wakike mmoja na wakiume wawili, sasa huyu mtoto wa kike ni binti wa karibu miaka 22 hadi 23 hivi..
Alivyomaliza kidato cha 4, aliolewa akazaa mtoto mmoja ambaye kwasasa ana miaka miwili kuelekea mitatu, lakini walishindwana na mwanaume wake hivyo yupo tu anakaa zake huko kapanga mbali na kwao kabisa.
Sasa kuna siku moja hapo nyumbani kwao kulikuwa na sherehe huyu mama jirani kuna ndugu yake alikuwa anaolewa hivyo shughuli ilikuwa hapo kwao. Sasa wakati wa kwenda kumpamba bibi harusi, yule binti akawa ameongozana na kijana mmoja hivi kwa maelezo ya mama yake huyo kijana ni rafiki yake.
Walivyorudi kutoka huko saluni mimi nikawa nimekaa hapo nje na mama shughuli pamoja na wamama wengine maana shughuli ilikuwa bado haijaanza hivyo watu hawakuwa wengi pembeni kulikuwa kuna ndugu za huyo mama jirani na watu wengine baadhi wa kiume.
Wakawa wamekuja hapo kwenye kundi la wamama sasa yule kijana akaanza kuropoka na kutukana hayo maelezo yake na muonekano wake huhitaji hata D moja kutambua kuwa kipa katoka golini, binafsi nilikuwa naona aibu maana anaongea hayo mbele ya wamama watu wazima wa kumzaa na wanamchekea tu.
Kilichonisikitisha ni kwamba huyo msichana ambaye anadai ni rafiki yake akawa anacheka anaona ni kitu cha kawaida tu na anasema ndiyo alivyo huyu akilewa huwa anatukanaga hivi, akawa anasema yaani huyu mara ana bwana Zanzibar akiendaga huko akirudi na hela za maana ananitoaga ndiyo maana nampenda, vile vile anasema amesoma nae O-level, na ni kwamba tangu wanasoma walikuwa hadi wanalala wote hapo kwao kashazoeleka.
Huyu mama jirani yeye hana shida kabisa na mwanae kuwa na mazoea na urafiki na mtu wa namna hii, sasa hizi tabia zikichekewa na kukumbatiwa si ndivyo vijana wengi wataona ni vitu vya kawaida na watashawishika kufanya hayo mambo, tutakuwa na kizazi cha namna gani.... binafsi niliumizwa sana na hivi vitendo maana nimewaza mengi sana, Mungu atusaidie kwenye hiki kizazi chenye kila mambo mabaya, wazazi mjitahidi kuwa makini na malezi ya watoto wenu wakike kwa wakiume
Kufanya kimya kimya? Hata pongezi ntampa, yaan mie hata akiwa anajionesha wazi wazi ikiwa yeye ameamua na inampa amani, mbna sina tatizo kabisa.Hivi ukigundua mtoto wako anafanya hivi vitendo ila haonyeshi wewe kama mzazi utaona fresh tu kwakuwa anafanya kimya?
Angalia hapo juu nimeuanzisha siyo mudaWapi huko
Nimecheka hadi napaliwa, ko wee ndo una mjuza hapa?Aah koka,kwani me wa jana humu? Sema tu huyo hajui au ni mgeni jijini ndomana anashangaa
Inasikitisha mnoLakini posti zake nyingi zinaonyesha anasapoti
Mungu akupe moyo wa hurumaWe kikubwa vunga tu dilli na mambo yako hayo mengine waachie wahusika wenyewe
Basi tu!Inasikitisha mno
Mungu akusaidie wewe na watoto wako kama unaoKufanya kimya kimya? Hata pongezi ntampa, yaan mie hata akiwa anajionesha wazi wazi ikiwa yeye ameamua na inampa amani, mbna sina tatizo kabisa.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi atakavyo, na faragha ya mtu hai ingiliwi.
Maisha hawapangiani eeeh? Upooo?
Ahsanteee!!Mungu akusaidie wewe na watoto wako kama unao
Bro, kwani kukiwa na mashoga wewe kinachokuuma ni nini?Wana jukwaa habari za wakati huu, ni matumaini yangu mu wazima. Huwa nashea mambo yanayotokea kwenye jamii yangu kama ilivyo ada.
Hapa ninapoishi kuna mmama jirani yangu ana watoto watatu wakike mmoja na wakiume wawili, sasa huyu mtoto wa kike ni binti wa karibu miaka 22 hadi 23 hivi..
Alivyomaliza kidato cha 4, aliolewa akazaa mtoto mmoja ambaye kwasasa ana miaka miwili kuelekea mitatu, lakini walishindwana na mwanaume wake hivyo yupo tu anakaa zake huko kapanga mbali na kwao kabisa.
Sasa kuna siku moja hapo nyumbani kwao kulikuwa na sherehe huyu mama jirani kuna ndugu yake alikuwa anaolewa hivyo shughuli ilikuwa hapo kwao. Sasa wakati wa kwenda kumpamba bibi harusi, yule binti akawa ameongozana na kijana mmoja hivi kwa maelezo ya mama yake huyo kijana ni rafiki yake.
Walivyorudi kutoka huko saluni mimi nikawa nimekaa hapo nje na mama shughuli pamoja na wamama wengine maana shughuli ilikuwa bado haijaanza hivyo watu hawakuwa wengi pembeni kulikuwa kuna ndugu za huyo mama jirani na watu wengine baadhi wa kiume.
Wakawa wamekuja hapo kwenye kundi la wamama sasa yule kijana akaanza kuropoka na kutukana hayo maelezo yake na muonekano wake huhitaji hata D moja kutambua kuwa kipa katoka golini, binafsi nilikuwa naona aibu maana anaongea hayo mbele ya wamama watu wazima wa kumzaa na wanamchekea tu.
Kilichonisikitisha ni kwamba huyo msichana ambaye anadai ni rafiki yake akawa anacheka anaona ni kitu cha kawaida tu na anasema ndiyo alivyo huyu akilewa huwa anatukanaga hivi, akawa anasema yaani huyu mara ana bwana Zanzibar akiendaga huko akirudi na hela za maana ananitoaga ndiyo maana nampenda, vile vile anasema amesoma nae O-level, na ni kwamba tangu wanasoma walikuwa hadi wanalala wote hapo kwao kashazoeleka.
Huyu mama jirani yeye hana shida kabisa na mwanae kuwa na mazoea na urafiki na mtu wa namna hii, sasa hizi tabia zikichekewa na kukumbatiwa si ndivyo vijana wengi wataona ni vitu vya kawaida na watashawishika kufanya hayo mambo, tutakuwa na kizazi cha namna gani.... binafsi niliumizwa sana na hivi vitendo maana nimewaza mengi sana, Mungu atusaidie kwenye hiki kizazi chenye kila mambo mabaya, wazazi mjitahidi kuwa makini na malezi ya watoto wenu wakike kwa wakiume
Conflict of interest. 😂😂😂😂Bro, kwani kukiwa na mashoga wewe kinachokuuma ni nini?
Namuuliza anaumizwa na nini? Mbona kuna mambo mengi ya kuyashughulikia tuje eti kujadili maamuzi ya mtu mwenyewe kuliwa? Je huyo shoger alikuambia hana hela ndio maana analiwa, je utampa hela au mtaji?Conflict of interest. 😂😂😂😂
Hata huwazi ndugu yako angekuwa hivyo ungejisikiaje na ungechukua hatua gani, loh! Mungu akusaidieNamuuliza anaumizwa na nini? Mbona kuna mambo mengi ya kuyashughulikia tuje eti kujadili maamuzi ya mtu mwenyewe kuliwa? Je huyo shoger alikuambia hana hela ndio maana analiwa, je utampa hela au mtaji?
Bro jibu Binti Sayuni03
Kwahiyo wewe unafurahishwa na wanaume kuleft kumbe,Bro, kwani kukiwa na mashoga wewe kinachokuuma ni nini?
Labda ndugu yako awe hivyo, alafu huyo si mtu baki au alikuambia ni kaka yako? Acha kufuatilia yasiyokuhusuHata huwazi ndugu yako angekuwa hivyo ungejisikiaje na ungechukua hatua gani, loh! Mungu akusaidie
Naona kawaida kwakua ni maamuzi yao wenyewe, wewe unaumizwa kwanini?Kwahiyo wewe unafurahishwa na wanaume kuleft kumbe,
Mungu akusaidieLabda ndugu yako awe hivyo, alafu huyo si mtu baki au alikuambia ni kaka yako? Acha kufuatilia yasiyokuhusu
Mungu akusaidieNaona kawaida kwakua ni maamuzi yao wenyewe, wewe unaumizwa kwanini?