Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

Tumia akili hao tayari wamesha kuwa victim addicted...hata ukimlazimisha mtu kwa nguvu kutumia madawa ya kulevya baada ya muda ataanza yeye mwenyewe kuyatafuta bila ya kushurutishwa ...mashoga wote ni victim wa mabasha ila baada ya kuwa victim ndiyo wanafikia hiyo hatua ya wao kuwa addicted na ushoga hapa ndiyo wao wanaanza wenyewe kutafuta mabwana hata kwa nguvu ....wewe unacho zungumzia ni next after victim
Ni kweli inaumiza mno
 
Ana tofauti gani na wewe KIVURUGE....ulivyo wavuruga enzi zako! Nyie vivuruge ndio mnaleta watoto wasio na baba matokeo yake ...wanakuwa mashoga! Vipi ulifikia uamuzi gani ,kuhusu kumueleza mumeo ukivuruge wako wa enzi😊
Haihusiani hapa na mada kama huna mchango pita kimya
 
Mambo ya sherehe yanapendwa na upinde ,nikiona mwanaume anapenda mambo ya sherehe naona kuna tatizo mahali.
 
Nilipewa humu cheo, Katibu Muenezi, 😂😂😂😂

Ni vidampa wasiojielewa, unawezaje kwenda kwa shughuri na kuanza kubwata ujinga, mara utukane watu, afu hawa wengi wao hawana Elimu, wanakera.

Mie nasemaga, wapigwe tyuuh. 😂😂😂😂
Wanakudhalilisha katibu muenezi 😹😹

Na wana mitusi hao vidampa sijui wanaitoa wapi jamani!! Yani anatoa neno Hilo toka uzaliwe hujawahi kulisikia..!!
 
Wanakudhalilisha katibu muenezi 😹😹

Na wana mitusi hao vidampa sijui wanaitoa wapi jamani!! Yani anatoa neno Hilo toka uzaliwe hujawahi kulisikia..!!
Kwa kweli wanadharaulisha taasisi, inahitajika Elimu ya kina juu yao.

😂😂😂😂😂 kwamba nawee unaogopa vijineno vya vidampaa? Aaah wee!
 
Wana jukwaa habari za wakati huu, ni matumaini yangu mu wazima. Huwa nashea mambo yanayotokea kwenye jamii yangu kama ilivyo ada.

Hapa ninapoishi kuna mmama jirani yangu ana watoto watatu wakike mmoja na wakiume wawili, sasa huyu mtoto wa kike ni binti wa karibu miaka 22 hadi 23 hivi..

Alivyomaliza kidato cha 4, aliolewa akazaa mtoto mmoja ambaye kwasasa ana miaka miwili kuelekea mitatu, lakini walishindwana na mwanaume wake hivyo yupo tu anakaa zake huko kapanga mbali na kwao kabisa.

Sasa kuna siku moja hapo nyumbani kwao kulikuwa na sherehe huyu mama jirani kuna ndugu yake alikuwa anaolewa hivyo shughuli ilikuwa hapo kwao. Sasa wakati wa kwenda kumpamba bibi harusi, yule binti akawa ameongozana na kijana mmoja hivi kwa maelezo ya mama yake huyo kijana ni rafiki yake.

Walivyorudi kutoka huko saluni mimi nikawa nimekaa hapo nje na mama shughuli pamoja na wamama wengine maana shughuli ilikuwa bado haijaanza hivyo watu hawakuwa wengi pembeni kulikuwa kuna ndugu za huyo mama jirani na watu wengine baadhi wa kiume.

Wakawa wamekuja hapo kwenye kundi la wamama sasa yule kijana akaanza kuropoka na kutukana hayo maelezo yake na muonekano wake huhitaji hata D moja kutambua kuwa kipa katoka golini, binafsi nilikuwa naona aibu maana anaongea hayo mbele ya wamama watu wazima wa kumzaa na wanamchekea tu.

Kilichonisikitisha ni kwamba huyo msichana ambaye anadai ni rafiki yake akawa anacheka anaona ni kitu cha kawaida tu na anasema ndiyo alivyo huyu akilewa huwa anatukanaga hivi, akawa anasema yaani huyu mara ana bwana Zanzibar akiendaga huko akirudi na hela za maana ananitoaga ndiyo maana nampenda, vile vile anasema amesoma nae O-level, na ni kwamba tangu wanasoma walikuwa hadi wanalala wote hapo kwao kashazoeleka.

Huyu mama jirani yeye hana shida kabisa na mwanae kuwa na mazoea na urafiki na mtu wa namna hii, sasa hizi tabia zikichekewa na kukumbatiwa si ndivyo vijana wengi wataona ni vitu vya kawaida na watashawishika kufanya hayo mambo, tutakuwa na kizazi cha namna gani.... binafsi niliumizwa sana na hivi vitendo maana nimewaza mengi sana, Mungu atusaidie kwenye hiki kizazi chenye kila mambo mabaya, wazazi mjitahidi kuwa makini na malezi ya watoto wenu wakike kwa wakiume
Apo kwer dawa imekuingia pole😂
 
Back
Top Bottom