kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #141
Una kichaa weweHata ukitumia baby oil?
Una kichaa weweHata ukitumia baby oil?
Hata ukitumia baby oil?
Ili mradi ukomenti na weweApo kwer dawa imekuingia pole😂
Vidampa wakianza kuongea km wamechomeka flash 😹😹Kwa kweli wanadharaulisha taasisi, inahitajika Elimu ya kina juu yao.
😂😂😂😂😂 kwamba nawee unaogopa vijineno vya vidampaa? Aaah wee!
Una maana gani au nipo against naweIli mradi ukomenti na wewe
Kauli yako ilikuwa ina maana gani?Una maana gani au nipo against nawe
Hapa JF ukijifanya mpole utachokozwa had usitamani kuingia..!! 😹😹Una kichaa wewe
Ngoja niende sawa nao kama wanavyotaka sasaHapa JF ukijifanya mpole utachokozwa had usitamani kuingia..!! 😹😹
Hizo ni tabia za wale watu wa uswahilini wanaopika vitumbua asubuhi,wakimaliza wanakaa kibalazani,watoto wao wanasoma shule za kata,wakimaliza wanapata division zero.....97% wazazi wa namna hio hawapo Jamii forumWana jukwaa habari za wakati huu, ni matumaini yangu mu wazima. Huwa nashea mambo yanayotokea kwenye jamii yangu kama ilivyo ada.
Hapa ninapoishi kuna mmama jirani yangu ana watoto watatu wakike mmoja na wakiume wawili, sasa huyu mtoto wa kike ni binti wa karibu miaka 22 hadi 23 hivi..
Alivyomaliza kidato cha 4, aliolewa akazaa mtoto mmoja ambaye kwasasa ana miaka miwili kuelekea mitatu, lakini walishindwana na mwanaume wake hivyo yupo tu anakaa zake huko kapanga mbali na kwao kabisa.
Sasa kuna siku moja hapo nyumbani kwao kulikuwa na sherehe huyu mama jirani kuna ndugu yake alikuwa anaolewa hivyo shughuli ilikuwa hapo kwao. Sasa wakati wa kwenda kumpamba bibi harusi, yule binti akawa ameongozana na kijana mmoja hivi kwa maelezo ya mama yake huyo kijana ni rafiki yake.
Walivyorudi kutoka huko saluni mimi nikawa nimekaa hapo nje na mama shughuli pamoja na wamama wengine maana shughuli ilikuwa bado haijaanza hivyo watu hawakuwa wengi pembeni kulikuwa kuna ndugu za huyo mama jirani na watu wengine baadhi wa kiume.
Wakawa wamekuja hapo kwenye kundi la wamama sasa yule kijana akaanza kuropoka na kutukana hayo maelezo yake na muonekano wake huhitaji hata D moja kutambua kuwa kipa katoka golini, binafsi nilikuwa naona aibu maana anaongea hayo mbele ya wamama watu wazima wa kumzaa na wanamchekea tu.
Kilichonisikitisha ni kwamba huyo msichana ambaye anadai ni rafiki yake akawa anacheka anaona ni kitu cha kawaida tu na anasema ndiyo alivyo huyu akilewa huwa anatukanaga hivi, akawa anasema yaani huyu mara ana bwana Zanzibar akiendaga huko akirudi na hela za maana ananitoaga ndiyo maana nampenda, vile vile anasema amesoma nae O-level, na ni kwamba tangu wanasoma walikuwa hadi wanalala wote hapo kwao kashazoeleka.
Huyu mama jirani yeye hana shida kabisa na mwanae kuwa na mazoea na urafiki na mtu wa namna hii, sasa hizi tabia zikichekewa na kukumbatiwa si ndivyo vijana wengi wataona ni vitu vya kawaida na watashawishika kufanya hayo mambo, tutakuwa na kizazi cha namna gani.... binafsi niliumizwa sana na hivi vitendo maana nimewaza mengi sana, Mungu atusaidie kwenye hiki kizazi chenye kila mambo mabaya, wazazi mjitahidi kuwa makini na malezi ya watoto wenu wakike kwa wakiume
Nilikua na maana kwamba ni ushauri gani ulioweza kuutoakiasi kwamba jamii iliokua pale ikakuelewa yakua umebadirisha mtazamo ulio kuwepo awali isipokua uliishia kutizama tuKauli yako ilikuwa ina maana gani?
Oooh! SawaH
Hizo ni tabia za wale watu wa uswahilini wanaopika vitumbua asubuhi,wakimaliza wanakaa kibalazani,watoto wao wanasoma shule za kata,wakimaliza wanapata division zero.....97% wazazi wa namna hio hawapo Jamii forum
Wanapewa mpunga bila hata kuliwaNimejua sababu sasa kwanini kina dada wanapenda ku hang na mashoga..kumbe wanapewaga ganji/maokoto haramu
Hivi kama watu wazima kuniliko wamenyamaza na kuchekelea na mimi hapo siyo kwetu si ntaonekana kiherehere na huyo kijana alikuwa kalewa muda huoNilikua na maana kwamba ni ushauri gani ulioweza kuutoakiasi kwamba jamii iliokua pale ikakuelewa yakua umebadirisha mtazamo ulio kuwepo awali isipokua uliishia kutizama tu
Unajua kila mtu ana uhuru wa kuongea chochote ata ww unao uwezo wa kumshauri/kumtumia mtu mzima kufikisha jambo Mahala husika naona hili ndilo kosa ulilofanya nakufanya niandike vile ila smahani kwa kukukera🙏Hivi kama watu wazima kuniliko wamenyamaza na kuchekelea na mimi hapo siyo kwetu si ntaonekana kiherehere na huyo kijana alikuwa kalewa muda huo
Hadi sarakasi tena? Udugu hapa una wasingiziaVidampa wakianza kuongea km wamechomeka flash 😹😹
Una neno moja mwenzio tayari ana mia, anakuchamba had anabinuka sarakasi 🤣
Usijali mkuu kuwa na amani wakati mwingine sitapoteza hiyo nafasiUnajua kila mtu ana uhuru wa kuongea chochote ata ww unao uwezo wa kumshauri/kumtumia mtu mzima kufikisha jambo Mahala husika naona hili ndilo kosa ulilofanya nakufanya niandike vile ila smahani kwa kukukera🙏
Haya barikiwaWewe una msongo, ebu agiza bia afu urudi kuedit uzi wako.
Siwasapoti....Kwahiyo unawasapoti wanaofanya hivyo ilimradi wawe wazungu?
Kweli nakwambia, km wanapiga sarakasi kwenye shuhuli itakua kwenye kuchamba?? 😹😹😹Hadi sarakasi tena? Udugu hapa una wasingizia
😂😂😂😂😂
Sawa tuwaombee wanaofanya hivi wabadilikeSiwasapoti....
Ila wazungu waliberali wana mambo ya maisha yao na si yetu sisi waafrika na wafuata hizi imani zetu za dini....