Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

Kwa kweli wanadharaulisha taasisi, inahitajika Elimu ya kina juu yao.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba nawee unaogopa vijineno vya vidampaa? Aaah wee!
Vidampa wakianza kuongea km wamechomeka flash 😹😹

Una neno moja mwenzio tayari ana mia, anakuchamba had anabinuka sarakasi 🀣
 
H
Hizo ni tabia za wale watu wa uswahilini wanaopika vitumbua asubuhi,wakimaliza wanakaa kibalazani,watoto wao wanasoma shule za kata,wakimaliza wanapata division zero.....97% wazazi wa namna hio hawapo Jamii forum
 
Oooh! Sawa
 
Nilikua na maana kwamba ni ushauri gani ulioweza kuutoakiasi kwamba jamii iliokua pale ikakuelewa yakua umebadirisha mtazamo ulio kuwepo awali isipokua uliishia kutizama tu
Hivi kama watu wazima kuniliko wamenyamaza na kuchekelea na mimi hapo siyo kwetu si ntaonekana kiherehere na huyo kijana alikuwa kalewa muda huo
 
Unajua kila mtu ana uhuru wa kuongea chochote ata ww unao uwezo wa kumshauri/kumtumia mtu mzima kufikisha jambo Mahala husika naona hili ndilo kosa ulilofanya nakufanya niandike vile ila smahani kwa kukukeraπŸ™
 
Usijali mkuu kuwa na amani wakati mwingine sitapoteza hiyo nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…