Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

Athari za kuzaa na kutelekeza watoto ni kubwa sana kuliko tunavyochukulia Poa.
 
Ni kweli umakini kwenye malezi unahitajika, usipokuwa muumini wa maombi unaweza kufanya watoto nao wasiamini kwenye maswala hayo, wakajikita na dunia zaidi
Hakika....

Mimi ni muumini wa maombi yangu na familia yangu baada ya kuwa nimetimiza wajibu wa kimalezi....sasa siamini katika kumuombea mwingine ambaye hajatimiza wajibu wake vyema in the first place...hii ni imani yangu binafsi mkuu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…