Haya mambo kumbe hata Korea wanafanya, nilidhani ni Afrika tu

Haya mambo kumbe hata Korea wanafanya, nilidhani ni Afrika tu

Hahaha sisi tuliiga kutoka kwao. Nchi iliisha jitenga hawajui vita ya mawe na kuchapana fimbo kama iliisha isha.
 
HahahaHaaa. Umenikumbusha enzi zile JWTZ katika visiwa vya Moroni (nimesahau jina)walizichapa kavu-kavu na wavamizi kumwondoa aliyejitangazia Mapinduzi........
Ilikua Sychelles kama sijakosea,pia Comoros hilo lilifanyika.
 
Mtu analeta mbwembwe zote hizo zakuvunja tofali Kwa kichwa mm niko hatua nne nyuma nachukua chuma naikoki halafu namzibua nayo maeneo laini,kwisha kazi.Kiduku kama nae anafanyisha wanajeshi wake huu upuuzi basi nae mchuba tu.
Kwa ujinga wako kila sehemu ni ya kutumia bunduki!?
Kuna sehemu ya kufanya UJASUSI utatumia bunduki!?
 
Mtu analeta mbwembwe zote hizo zakuvunja tofali Kwa kichwa mm niko hatua nne nyuma nachukua chuma naikoki halafu namzibua nayo maeneo laini,kwisha kazi.Kiduku kama nae anafanyisha wanajeshi wake huu upuuzi basi nae mchuba tu.
Mazingira ya vita unayajua?
 
Ni ajabu kwamba watu wasio na uelewa kabisa na harakati za majeshi kuamini kwamba maonesho ya ya vijana kuonesha sanaa za mapigano, kupiga vitu vigumu, kuonesha miili iliyojengeka ni vitu visvyo muhimu but kiukweli Moja ya vitu vinavyotiliwa mkazo kijeshi ni fiziki ya askari. Askari akizidiwa mapigano Kwa silaha anatakiwa kukimbia . Je askari huyo kama hana mazoezi Yuko nyondenyonde ataweza kweli kuokoa uhai wake?
Nb.
Hivi vitu yaani maonesho ya askari wakakamavu hufanyika duniani kote kwenye maadhimisho, parade nk.
 
Halafu watashangaa kukuta kwamba kwenye vita halisi hayo hayapo.
IMG_1216.jpeg

Kwenye vita watakutana na komando kutoka USA wa kuitwa MCHELE KIBUA!
 
Ukweli hata hao wanafanya ila Kuna baadhi ya vitu hutoviona kwao na hapo utabaini Kuna kitu Cha ziada wanacho sisi hatukijui

Hao ni makomando lakini vp umewaona wamevimba vimba kma makomando wetu ? yaani kifua hiko au mkono una tonge hilo

Yaani ukimwangalia huyo anayevunjiwa tofali kifuani unamwona kabisa ana mwili wa kawaida ila una ukakamavu wa wa kuanzia ndani sio wa mwonekano wa nje sasa hizo code kwetu hutozikuta , sisi unakuta makomando wengi wamejaa kama KONDE BOY
 
Wapo komando wa aina tofauti tofauti
 
Back
Top Bottom