Haya mambo mbona yanachanganya, ina maana Tundu Lissu anarejea Tanzania hivi karibuni?

Haya mambo mbona yanachanganya, ina maana Tundu Lissu anarejea Tanzania hivi karibuni?

Hebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari , sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu .

View attachment 2135701

Mungu Ibariki Chadema .
Ina maana haya ni matokea ya mazungumzo baina yake na chufu Hangaya kule Brussels.
IMG_20220301_202633.jpg
 
Hebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari , sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu .

View attachment 2135701

Mungu Ibariki Chadema .
Arudi tu aje ashiriki kujenga nchi kwa siasa za kistarabu. Lile shetani la Chato linaoza kaburini kwa vile mwezi huu linatimiza mwaka mmoja toka lizikwe.

Akina Makonda wapo mtaani ila siyo tishio kama walivyokuwa wakati wa Magufuli. Sana sana naye Makonda hajui kesho yake ikoje
 
nyie bakieni na Ligaidi lenu huko.
nimeamua kuunga mkono jitihada zinazo fanywa na Rais Samia.

Mbowe atajijuwa mwenyewe, kwani alipo kuwa anapanga huo ujinga wake wa kuihujumu Serikali alinishirikisha mm kama makamu wake?! wacha apambane na hali yake.
 
Back
Top Bottom