Haya mambo mbona yanachanganya, ina maana Tundu Lissu anarejea Tanzania hivi karibuni?

Haya mambo mbona yanachanganya, ina maana Tundu Lissu anarejea Tanzania hivi karibuni?

wala hatuna shida na buku lako , Taarifa kutoka Chadema Digital inaonyesha kwamba , mpaka sasa Chadema ina wanachama 12mil plus ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uchwara aje ajitengenezee tukio ili aonekane kwenye TV akipelekwa kisutu kila siku. Amesahaulika huku mtaani
 
wala hatuna shida na buku lako , Taarifa kutoka Chadema Digital inaonyesha kwamba , mpaka sasa Chadema ina wanachama 12mil plus ...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni kwenye mambo km haya tu ndiyo yanayonifanya niipende siasa!!
 
Ugali naona hautaki tena! Mshauri abaki huko huko maana waliotaka kumtoa uhai ni wenzake ukumbuke
Yeye ndiye anayewajua kwani aliwaona na gari aliliona, gari alishaliripoti na polisi uchwara hakuchua hatua hivyo hao waliotaka kumuua ni wenzake au la kitu muhimu ni kuwa kama hii issue aliiongea na chifu Hangaya na akajiona yuko salama arudi tu, hayo mengine mdogomdogo yatabainika tu.

Kuna uwezekano wale walenga shabaha uchwara waliommiminia risasi wako humu JF, baadhi ya comments hunifanya nihisi hiyo.
 
Walikimbia mwanaume Sasa wameona mwanamke madarakani wanataka karudi.
 
Hebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari, sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu.

View attachment 2135701

Mungu Ibariki Chadema .
Mbona hii kitambo sana ilishaongelewa?

Lissu na Lema wanarudi March .

1646199404315.png
 
Back
Top Bottom