Hili ni tangazo la kibabe sanaHebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari, sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu.
View attachment 2135701
Mungu Ibariki Chadema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni tangazo la kibabe sanaHebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari, sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu.
View attachment 2135701
Mungu Ibariki Chadema.
Akili kubwa haijawahi kukoseaHili ni tangazo la kibabe sana
Lingenichapa ningekuwa nimekufa, limechapwa lenyewe na COVID-19 Hilo huko linaliwa na minyoo Chato
Na kwenye hotuba ya kuaga mwaka 2021 na kupokea 2022 kuna sehemu alitaja muda wanao tarajua kurudiYeye na Lema walipanga kurudi nchini kabla hata ya kukutana na Mama Samia.
Kama sikosei, walitangaza kupitia Mariaspace na uzi hapa JF nadhani upo.