greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wala hatuna shida na buku lako , Taarifa kutoka Chadema Digital inaonyesha kwamba , mpaka sasa Chadema ina wanachama 12mil plus ...
AhahahYaanj nimpe buku langu Lisu akanywee bia??
Ugali naona hautaki tena! Mshauri abaki huko huko maana waliotaka kumtoa uhai ni wenzake ukumbukeHebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari, sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu.
View attachment 2135701
Mungu Ibariki Chadema .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wala hatuna shida na buku lako , Taarifa kutoka Chadema Digital inaonyesha kwamba , mpaka sasa Chadema ina wanachama 12mil plus ...
Mbona tozo lako wamelichezea kwenye mnara wa Dubai na umefurahi?Yaanj nimpe buku langu Lisu akanywee bia??
Ila walioutaka uhai wao ndio uchwara zaidiWaoga tu hao makamanda uchwara.
Yeye ndiye anayewajua kwani aliwaona na gari aliliona, gari alishaliripoti na polisi uchwara hakuchua hatua hivyo hao waliotaka kumuua ni wenzake au la kitu muhimu ni kuwa kama hii issue aliiongea na chifu Hangaya na akajiona yuko salama arudi tu, hayo mengine mdogomdogo yatabainika tu.Ugali naona hautaki tena! Mshauri abaki huko huko maana waliotaka kumtoa uhai ni wenzake ukumbuke
Kwani hujui kuwa yeyote hutamani kumwepuka shetani na pia hutamani kumfuata malaika🤔Walikimbia mwanaume Sasa wameona mwanamke madarakani wanataka karudi.
Akija hawasemi kaombwa asitangaze maana atazua taharuki na amesha hakikiwa ulinzi wa usalama wake.Hebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari, sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu.
View attachment 2135701
Mungu Ibariki Chadema .
Mbona hii kitambo sana ilishaongelewa?Hebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari, sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu.
View attachment 2135701
Mungu Ibariki Chadema .
Akija hawasemi kaombwa asitangaze maana atazua taharuki na amesha hakikiwa ulinzi wa usalama wake.
(Hii ni siri walielewana huko )
Hata usemeje haisaidii.Ila walioutaka uhai wao ndio uchwara zaidi
Haisaidii ila ujumbe umefika sio⛹️😄.Hata usemeje haisaidii.
Hivi kwani wewe ndie huyuUgali naona hautaki tena! Mshauri abaki huko huko maana waliotaka kumtoa uhai ni wenzake ukumbuke