Haya mambo mbona yanachanganya, ina maana Tundu Lissu anarejea Tanzania hivi karibuni?

Acha uchonganishi
 
Kila binadamu kuna wanaompenda na wasiompenda. Si kila binadamu anapendwa na wote.
 
Yeye na Lema walipanga kurudi nchini kabla hata ya kukutana na Mama Samia.

Kama sikosei, walitangaza kupitia Mariaspace na uzi hapa JF nadhani upo.

Tunashukuru kwa kukumbusha hili maana watu wanaweza kupotosha ukweli huo.
 
Duh Lissu mbona unawananga wenzako?
 
Bado linakuchapa hata baada ya kufa?



Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kila binadamu kuna wanaompenda na wasiompenda. Si kila binadamu anapendwa na wote.
Fact👍, ni kweli kabisa haiwezekani kupendwa na kila mtu lakini hilo haliondoi ukweli kwamba kuna uwezekano wa kuwa waliommiminia risasi wakawa humu janvini na kwa kuwa hawakufanikiwa kumuua basi hasira zao watakuwa wakizitumia kwa kumkashifu, kumtukana na kumsimanga kwenye kila uzi atakaotajwa.
 
Duh Lissu mbona unawananga wenzako?
sio kuwananga bali haya maisha kila mtu ana akili zake siyo?

waswahili wanasema akili ni nywele siyo? kila mtu anazake siyo?...suala la msingi ni kuwa unazitumiaje hizo akili zako ww mwenyewe bila kufuata mkumbo.

Umepewa akili ili uzitumie kutafakari na kufanya maamuzi......kwa sasa chama kimesha kuwa genge la kihuni....tulimshauri mwenyekiti aachie ngazi siku nyingi lkn alikuwa king'ang'anizi hadi yamemkuta hayo tena.
 
wala hatuna shida na buku lako , Taarifa kutoka Chadema Digital inaonyesha kwamba , mpaka sasa Chadema ina wanachama 12mil plus ...
kwa ubunifu huu wa buku buku. Chama tutavuna pesa nyingi kutoka kwa watanzania wapenda amani, utawala bora na demokrasia endelevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…