Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

Kama ana tatizo la kiafya asiloweza kulivumilia, ni sahihi, anaweza kuwekewa kiti kinachoendana na afya yake, lakini si vema kuwa kiti cha ikulu. Kiti cha ikulu kina nembo. Ile nembo ni alama ya ufalme na mamlaka. Ndani ya nyumba ya ibada, ufalme ni wa Mungu pekee, hatustahili kupeleka ufalme mwingine ndani ya nyumba yake.
Mzee ukishakua rais ule ndo utambulisho wako,sio kiti tu hata kitanda kina hyo nembo hata kwenye gari kwenye seat anayokaa hyo nembo ipo.
 
View attachment 2976278
View attachment 2976279
View attachment 2976280
View attachment 2976281
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais.

Hili jambo kwa ujumla linapaswa kukemewa kwa sababu liko kinyume kabisa na maadili ya kiroho.

Inapaswa ieleweke kwamba kuna maeneo huwa binadamu tunapaswa tufanane katika safu moja ili utofauti abaki nao mwenyezimungu peke yake.

Ni wazi kwamba nyumba za ibada ni nyumba za mwenyezimungu,na ni mungu pekee anaepaswa kuenziwa katika nyumba hizo.

Bila kujalisha madaraka uliyonayo,unapofika katika nyumba ya mungu ni vyema kujidunisha na kukubali kuwa sawa na viumbe wengine.

SSH ni muislam na taratibu za kiislam anazifahamu.Anataka kutwambia hata anapokwenda msikitini huenda na kiti cha ikulu kukalia??

Au anataka kusema siku akienda kuhiji Makka atakwenda na kiti cha ikulu kukalia??

Au atakataa kuvaa mavazi ya hija kwa kuwa yeye ni rais??

Nafikiri ufike wakati,binadamu tupunguze kuwakweza binadamu wenzetukwa namna ya kumkufutu mwenyezimungu.

Nafasi ya urais haipo Tanzania tu.Pichani juu ni rais wa Zambia na Rais wa Marekani wakiwa katika nyumba za ibada na wamekalia bench.Huyu wa kwetu anashindwa nini kukalia bench,kwamba utakatifu wake umezidi marais wengine ama vp??

Mungu awabariki sana!!

Hivi kuna sababu gani kwa Mwislamu kwenda kanisani au Makristo kwenda Msikitini kwenye ibada....!!? Tanzania kwa kweli tunachanganya sana dini na siasa. Kama wewe umechagua Ukristo baki kwenye Ukristo, kama umechagua Uislam baki kwenye Uislam ... hakuna sababu ya mtu kwenda kuhudhuria ibada ambayo huiamini.

Maza hata kusema tu tumsifu Yesu Kristu kama salamu kwenye mikutano ya kisiasa inamshinda, Sasa kanisani anafuata nini. .. Siasa!!? Binafsi nitaona sawa kama wangeenda kwenye sherehe, futari au kongamano lakini siyo misa.
 
View attachment 2976278
View attachment 2976279
View attachment 2976280
View attachment 2976281
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais.

Hili jambo kwa ujumla linapaswa kukemewa kwa sababu liko kinyume kabisa na maadili ya kiroho.

Inapaswa ieleweke kwamba kuna maeneo huwa binadamu tunapaswa tufanane katika safu moja ili utofauti abaki nao mwenyezimungu peke yake.

Ni wazi kwamba nyumba za ibada ni nyumba za mwenyezimungu,na ni mungu pekee anaepaswa kuenziwa katika nyumba hizo.

Bila kujalisha madaraka uliyonayo,unapofika katika nyumba ya mungu ni vyema kujidunisha na kukubali kuwa sawa na viumbe wengine.

SSH ni muislam na taratibu za kiislam anazifahamu.Anataka kutwambia hata anapokwenda msikitini huenda na kiti cha ikulu kukalia??

Au anataka kusema siku akienda kuhiji Makka atakwenda na kiti cha ikulu kukalia??

Au atakataa kuvaa mavazi ya hija kwa kuwa yeye ni rais??

Nafikiri ufike wakati,binadamu tupunguze kuwakweza binadamu wenzetukwa namna ya kumkufutu mwenyezimungu.

Nafasi ya urais haipo Tanzania tu.Pichani juu ni rais wa Zambia na Rais wa Marekani wakiwa katika nyumba za ibada na wamekalia bench.Huyu wa kwetu anashindwa nini kukalia bench,kwamba utakatifu wake umezidi marais wengine ama vp??

Mungu awabariki sana!!
Maaskofu (Bishops) mfano KKKT, nao wakienda kwenye makanisa wasiende na viti vyao vyao. Inashangaza kuona watumishi wakibeba viti vyao kila wakati.
 
View attachment 2976278
View attachment 2976279
View attachment 2976280
View attachment 2976281
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais.

Hili jambo kwa ujumla linapaswa kukemewa kwa sababu liko kinyume kabisa na maadili ya kiroho.

Inapaswa ieleweke kwamba kuna maeneo huwa binadamu tunapaswa tufanane katika safu moja ili utofauti abaki nao mwenyezimungu peke yake.

Ni wazi kwamba nyumba za ibada ni nyumba za mwenyezimungu,na ni mungu pekee anaepaswa kuenziwa katika nyumba hizo.

Bila kujalisha madaraka uliyonayo,unapofika katika nyumba ya mungu ni vyema kujidunisha na kukubali kuwa sawa na viumbe wengine.

SSH ni muislam na taratibu za kiislam anazifahamu.Anataka kutwambia hata anapokwenda msikitini huenda na kiti cha ikulu kukalia??

Au anataka kusema siku akienda kuhiji Makka atakwenda na kiti cha ikulu kukalia??

Au atakataa kuvaa mavazi ya hija kwa kuwa yeye ni rais??

Nafikiri ufike wakati,binadamu tupunguze kuwakweza binadamu wenzetukwa namna ya kumkufutu mwenyezimungu.

Nafasi ya urais haipo Tanzania tu.Pichani juu ni rais wa Zambia na Rais wa Marekani wakiwa katika nyumba za ibada na wamekalia bench.Huyu wa kwetu anashindwa nini kukalia bench,kwamba utakatifu wake umezidi marais wengine ama vp??

Mungu awabariki sana!!
Umesahau Kile kiti cha Hayati kilichokuwa na fan yake?
 
Spiritually,

SSH, anakabidhi KITI Kwa Kanisa,

Ajaye baada ya SSH atakuwa Mlawi, Nabii.

Tusubiri.
 
Sasa unatoa mfano wa marais wa marekani, kwanini hukutoa mfano wa marais wetu? JPM, Nyerere, Kikwete, Mkapa, Mwinyi walivyokuwa wanaenda makanisani walienda na viti vyao?
nilishawahi kusimamishwa na msafara wa JPM alikuwa anatoka kanisani pale bandarini, kumbe walisahau kiti chake kikapelekwa kwenye gari husika haraka ndiyo msafara ukaondoka.
Jibu: at least JPM alikuwa anakwenda na kiti na hii niliiona live.
 
Mbona akienda msikitini haendi na kiti? Dharau ya Mungu wa kanisa!
Hujaona hapo mbele kaweka mswala maalumu wa kusujudia.?!
Hawezi kupeleka viti msikitini kwakuwa muundo wa ibada za kiislamu watu hawaswali wakiwa wamekaa vitini ispokuwa kama mtu ana tatizo la kiafya au ulemavu unaomfanya ashindwe kutekeleza ibada akiwa amekaa chini huyo ndiye hukaa kitini lakini wagalatia na wazayuni ndio huswali wakiwa wamekaa vitini.
 
Mbona akienda msikitini haendi na kiti? Dharau ya Mungu wa kanisa!
Siku waislamu wakianza kuswali wakiwa wamekalia mabenchi lazima kiti Cha rais kitawekwa!. Lakini kwakuwa msikitini tunakalia mazulia mh rais anakuja na mswala wa kusujudia.
 
Mbona marais wengine walikua wanaenda kukalia mabenchi? Na mbona msikitini huwa anakaa chini.
Msikitini anakaa chini kwakuwa ndio utamaduni wa waislamu kuswali wakiwa wamekaa chini.
Huko kanisani ambako mnakalia mabenchi ndio anaenda na kiti chake.
AU ULITAKA HATA KANISANI AKAE CHINI KAMA ANAVYOKAA MSIKITINI?!
KAMA MNATAKA HIVYO ONDOENI MABENCHI MUWEKE MAZULIA , NA VIATU VYENU MUVIACHE NJE YA KANISA KAMA TUFANYAVYO WAISLAMU UONE KAMA MH RAIS HATOKAA CHINI KWENYE ZULIA.
 
Mna Rais mbaguzi na mdini sana nadhani anaendeshwa na watu nyuma yake ambao ni very immature, Kama Magufuli alikufa kwa Covid 19 ananyanyapaa makanisa kwa lipi? kama ukristo ni najisi kwake aache kwenda makanisani halazimishwi
Akija kwenye KANISA lako mfukuze. Uwepo wa rais kanisani ni kwa manufaa ya viongozi wa KANISA Wala sio manufaa ya rais. Rais akiwa kanisani huwa furaha na shangwe kwa viongozi wa KANISA hivyo hawana jeuri ya kumzuia asiingie kanisani kwa kuwa itakuwa wanamfukuza baraka.
Au hujasikia kuwa juzi tu hapa rais na familia yake wametoa milioni mia Moja ths 100,000,000/= kwa ajili ya ujenzi wa kanisa.?! Asingeenda kanisani hayo mamilioni wangeyapata wapi?!
 
Mleta mada yupo sahihi. Kanisani au msikitini ni mahali ambapo unajinyenyekesha mbele za Mungu, siyo mahali pa kwenda kuonesha kuwa wewe au mwingine yeyote ni zaidi ya wengine. Kujifanya bora zaidi kuliko wengine mbele za Mungu, iwe kwa kunena au kutenda, Mungu amelikataza. Kumbuka:

"Mtoza ushuru na mfarisayo walienda kuomba. Mfarisayo alitazama juu mbinguni, akasema, tazama, mimi si kama huyu mtoza ushuru. Mimi nasali, natoa sadaka, nafunga mara 3 kwa siku. Lakini mtoza ushuru alipiga magoti, hakunyanyua hata macho juu mbinguni, akajipigapiga kifua chake, akasema, mimi ni mwenye dhambi. Naomba unisamehe. Yesu akasema hakika huyu mtoza ushuru ndiye aliyesali"

Ibadani tunaenda kutafuta huruma ya Mungu, siyo kwenda kujionesha kuwa sisi ni tofauti au bora kuliko wengine. Tunamwachia Mungu, yeye ndiye ajuaye nani aliye bora zaidi katika ufalme wake.

Tukio alilolisema mleta mada, wa kulaumiwa ni hao watu wa protokali.

Kumbuka kinachompeleka Mh Samia kanisani ni siasa Wala siyo dini.
Kinachompeleka Mh Samia msikitini ni dini zaidi na siasa kiasi.
Kwa mfano mh mpango au Simba chawene Hawa wakienda msikitini wamepelekwa na siasa na sio dini. Swala la wanasiasa kuingia nyumba za ibada ambazo ziko kinyume na dini zao ni jambo la kisiasa kwahiyo usitegemee kwamba wakifika kwenye nyumba hizo kuwa watafanana na waumini wa nyumba hizo kwa kila kitu. Kwahiyo kiti Cha ikulu kanisani ni alama kuwa muhusika yupo kisiasa zaidi na sio kidini.
 
Back
Top Bottom