Haya mambo yasikie kwa wengine.Huyu dada alitamani ardhi ifunguke Immeze. Leo hii ana Ushuhuda mwingine

Haya mambo yasikie kwa wengine.Huyu dada alitamani ardhi ifunguke Immeze. Leo hii ana Ushuhuda mwingine

amina dear, we naweeee u na haraka anza Mungu na herufi kubwa bhana

teh teh
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli itabidi niwe makini sana kutype

Unajua siku hizi sm yangu inachemka sababu ya kutype sana usishangae siku ikanilipukia na kidole gumba cha motoo balaaaaa
 
haiwezi kulipuka bhana ila uwe tu makini kwenye kutype
wakati mwingine hizi tachi zinaleta kero sana, zaweza kukuletea ugomvi
 
haiwezi kulipuka bhana ila uwe tu makini kwenye kutype
wakati mwingine hizi tachi zinaleta kero sana, zaweza kukuletea ugomvi
Kweli kabisa yan tachi unaweza type neno hili wakat wa kusend ukashangaa limegeuka likawa tusi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka mweh..gesi haijawahi acha mtu salama
 
Sorry sijasoma content maana nikashaona thread from Gudume najua ni hadithi za zisizo na uhalisia.

Naelekea thread zingine
 
Hahahahahhahahaaa wee Gudy weeweee looh

Nina maswali kwako nikiwa naendelea kucheka, mchana wa leo mlikula nini ili dada wa watu asirudie kutoa gesi kama ya jana?

Hitimisho la lunch yenu ilikuwaje? Najua umepata rafiki, ila naona dalili zote mbeleni kuja kumgegeda huyo dada. Nimeotea sawa?

Ila formula ni ile ile, ukiwa unaenda haja kila siku na vyakula utavyokuwa sio vya kuzalisha gesi kali tumboni, basi hata ukiachia ushuzi wakati unafanya presentation mbele ya management hauwezi kunuka. Sema uwe ushuzi wa kimya kimya usiwe ule wa sauti heheheheheheh

Kwaheri.
 
Vile vile ukiwa mtumiaji mzuri wa maji basi hata ukinyamba au ukienda haja kubwa hakiwezi kuwa na harufu kali
 
Hahahaha utakujaga kuniua kwa kucheka we baba,ila mi ndo ningekua uyo dada yan ningeuchubua hata unisemeshe sikujibu
 
Hahahaha utakujaga kuniua kwa kucheka we baba,ila mi ndo ningekua uyo dada yan ningeuchubua hata unisemeshe sikujibu
Ingekuwa mm ningeongeza mnyambooo mwingineee ili athibitishe ndo mm
 
sitasahau nilipomwona cashier wa bank niliyekuwa namheshimu balaa akitongozwa palepale na kupewa mawasilaano. NMB Bank house, niko kwenye folen jamaa wa mbele yangu akaenda akaandika account yake kampa yule dada amtizamie salio, yule dada baada ya kuprocess nahisi kulikuwa na salio kubwa kupita kiasi, alitoa tabasamu kubwa asilojipendea, na jamaa naye akampa tabasamu kubwa afu akamwambia amwandikie kwenye karatasi akamwandikia. jamaa na yule mdada kama walinatana vile wanatizamana kwa upendo, akachomoa buz card akampa yule dada jamaa akaondoka kwa furaha akimwambia kwa kificho "utanicall basi". watu wote tulishangaa manake yule dada kama alichanganyikiwa vile. hapo ndipo nilipoamini kumbe wanawake wanaweza kudanganyika na salio la kwenye account zetu....hahaha.
 
Utuletee mrejesho pia ukifanikiwa kwenda nae kule sinza mugabe (parking at your own risk)
 
Back
Top Bottom