Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa haiwez kukamilika kabisaaaila wewe mkuu usipotaja papuchi kwenye sentensi zako hujisikii vzr kabisa
hahahhahaha wewe ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hatar mwendo wa kupumua tuHahahah
hahahahahah nimeona nimeonaKabisaa haiwez kukamilika kabisaaa
Sijambooo namshukuru Mungu kwa uzimaaahahahahahah nimeona nimeona
hujambo lakini?
amina dear, we naweeee u na haraka anza Mungu na herufi kubwa bhanaSijambooo namshukuru mungu kwa uzimaaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]amina dear, we naweeee u na haraka anza Mungu na herufi kubwa bhana
teh teh
haiwezi kulipuka bhana ila uwe tu makini kwenye kutype[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli itabidi niwe makini sana kutype
Unajua siku hizi sm yangu inachemka sababu ya kutype sana usishangae siku ikanilipukia na kidole gumba cha motoo balaaaaa
Kweli kabisa yan tachi unaweza type neno hili wakat wa kusend ukashangaa limegeuka likawa tusihaiwezi kulipuka bhana ila uwe tu makini kwenye kutype
wakati mwingine hizi tachi zinaleta kero sana, zaweza kukuletea ugomvi
wacha kabisaKweli kabisa yan tachi unaweza type neno hili wakat wa kusend ukashangaa limegeuka likawa tusi
Vile vile ukiwa mtumiaji mzuri wa maji basi hata ukinyamba au ukienda haja kubwa hakiwezi kuwa na harufu kaliHahahahahhahahaaa wee Gudy weeweee looh
Nina maswali kwako nikiwa naendelea kucheka, mchana wa leo mlikula nini ili dada wa watu asirudie kutoa gesi kama ya jana?
Hitimisho la lunch yenu ilikuwaje? Najua umepata rafiki, ila naona dalili zote mbeleni kuja kumgegeda huyo dada. Nimeotea sawa?
Ila formula ni ile ile, ukiwa unaenda haja kila siku na vyakula utavyokuwa sio vya kuzalisha gesi kali tumboni, basi hata ukiachia ushuzi wakati unafanya presentation mbele ya management hauwezi kunuka. Sema uwe ushuzi wa kimya kimya usiwe ule wa sauti heheheheheheh
Kwaheri.
Ingekuwa mm ningeongeza mnyambooo mwingineee ili athibitishe ndo mmHahahaha utakujaga kuniua kwa kucheka we baba,ila mi ndo ningekua uyo dada yan ningeuchubua hata unisemeshe sikujibu