Haya maradhi sasa imekuwa too much!

Kuna mtu aliandika kwenye comment moja humu kwamba tunashangilia wawekezaji ila cha moto tutakiona, akasema kwa deposits za resources tulizo nazo watafanya kila njia kutupunguza ili mwisho wa siku watu-dominate, sasa hivi kila kitu ni fake, dawa hospitali nyingi fake, vyakula fake, mbegu za mazao ya vyakula fake, vyombo vya chakula fake, viongozi fake, hali ya hewa fake, maji ya kunywa na kupikia fake tutakosaje kuugua magonjwa yasiyoeleweka?
 
Acha yule hawa wa Mond aliyeonekana kwenye shilawadu hapo chuzi kati kakonda mpk huruma.

Huyu mgonjwa anaitwa Careen Hawa
Nimeona video yake YouTube akisimulia, so scary

Kuna watu operation Moja tu unauguza kidonda Mwaka mzima sasa yeye operation 22🙌

Mungu ampe uponyaji
 
Tuombe toba uchaguzi wa 2020 January kasema haukuwa halali
 

Kapigwa kipapai...?
 
Unajifungia ndani utaonaje unakaa ushuani utegemee utaona macho mekundu ungeenda uswahilini ungewakuta watu kibao wanaumwa
Najifungia ndani ili nile magodoro sio? Nje natoka, na ninatembea vizuri tu. Ila sijawaona red eyes.
 
Najifungia ndani ili nile magodoro sio? Nje natoka, na ninatembea vizuri tu. Ila sijawaona red eyes.
We unatembea ushuani unge ingia uswahilini huko ukawaone ungekimbia alafu watu wale walivyo washenzi ukiwaangalia wanakupanulia macho ili na wewe ukupate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…