miviga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2024
- 1,721
- 6,037
Hili jambo limenipata, hivi shida ni nini?Na yale ya miguuu kuuma kwa siku 4 na kushindwa kutembea vizuri mara baada ya kujamiiana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jambo limenipata, hivi shida ni nini?Na yale ya miguuu kuuma kwa siku 4 na kushindwa kutembea vizuri mara baada ya kujamiiana
Kuna mtu aliandika kwenye comment moja humu kwamba tunashangilia wawekezaji ila cha moto tutakiona, akasema kwa deposits za resources tulizo nazo watafanya kila njia kutupunguza ili mwisho wa siku watu-dominate, sasa hivi kila kitu ni fake, dawa hospitali nyingi fake, vyakula fake, mbegu za mazao ya vyakula fake, vyombo vya chakula fake, viongozi fake, hali ya hewa fake, maji ya kunywa na kupikia fake tutakosaje kuugua magonjwa yasiyoeleweka?Yaani tangu tuanze hakuna kupumua wala kupumzika kila siku ni mlipuko wa maradhi bandika bandua!
Ilianza CORONA mara ikaja VICHWA NA MAFUA mara ikaja MATUMBO NA KUHARISHA mara ikaja MADONDA KWA WATOTO mara KUKOHOA mara tena MACHO MEKUNDU Mara nasikia kuna inakuja hiyo ya MATAKO KUUMA bila sababu mwee! Tutakaaje sasa!?🤣
Mbona kila siku tunapigwa na kitu kizito kichwani tena chenye ncha kali?
Tumuombe sana Mwenyezi Mungu kwakweli atujaalie mwisho mwema maana kufa ni lazima ila haya mateso siyo lazima!
Mimi imenianza jana magoti yanauma sanaHili jambo limenipata, hivi shida ni nini?
Nimeona video yake YouTube akisimulia, so scaryAcha yule hawa wa Mond aliyeonekana kwenye shilawadu hapo chuzi kati kakonda mpk huruma.
Huyu mgonjwa anaitwa Careen Hawa
Nimelia sana 😭Nimeona video yake YouTube akisimulia, so scary
Kuna watu operation Moja tu unauguza kidonda Mwaka mzima sasa yeye operation 22🙌
Mungu ampe uponyaji
Wataalam wanasema kuwa ugonjwa huu sio red eye, sijui wanauitaje wenyewe jina lankisomi hivi , ingawa nao matokeo yake husababisha pia red eyesKabsaa ,red eyes imepita mikoa mingi . Nilienda Shinyanga nikaukuta wilaya fulani hivi.
Tuombe toba uchaguzi wa 2020 January kasema haukuwa halaliYaani tangu tuanze hakuna kupumua wala kupumzika kila siku ni mlipuko wa maradhi bandika bandua!
Ilianza CORONA mara ikaja VICHWA NA MAFUA mara ikaja MATUMBO NA KUHARISHA mara ikaja MADONDA KWA WATOTO mara KUKOHOA mara tena MACHO MEKUNDU Mara nasikia kuna inakuja hiyo ya MATAKO KUUMA bila sababu mwee! Tutakaaje sasa!?🤣
Mbona kila siku tunapigwa na kitu kizito kichwani tena chenye ncha kali?
Tumuombe sana Mwenyezi Mungu kwakweli atujaalie mwisho mwema maana kufa ni lazima ila haya mateso siyo lazima!
Ndiyo ile wanasemaga hujafa hujaumbika 🙌Nimelia sana 😭
ExactlyNdiyo ile wanasemaga hujafa hujaumbika 🙌
Mungu atupe mwisho mwema 🙏🙏Exactly
kuna inakuja hiyo ya MATAKO KUUMA bila sababu mwee!
Kuna mitihani haibebeki. Tiktok kuna msanii anaitwa Hawa, b4 hapo sijawahi kumfahamu.
Nimeanza kumuona hivi wanavyompost post na maradhi yake.
Haelewi haswa chanzo cha ugonjwa, ila unaambiwa amefanyiwa operation 22 za tumbo 🥹😭
Mara mshono ufumukuke. Yan ni heka heka nzito
Matumbo ya lini hiyo? Mbona ilipita kimya? Macho mekundu Dar peke yenu… Dar mnapitia mengi jaman
Unajifungia ndani utaonaje unakaa ushuani utegemee utaona macho mekundu ungeenda uswahilini ungewakuta watu kibao wanaumwaMacho mekundu nilipo sikuisikia wala kuiona kabisa
No body knows. Hata familia yake haielewi na ni kama hawaamini mambo hayo. Kutwa wapo nae HospitaliKapigwa kipapai...?
Najifungia ndani ili nile magodoro sio? Nje natoka, na ninatembea vizuri tu. Ila sijawaona red eyes.Unajifungia ndani utaonaje unakaa ushuani utegemee utaona macho mekundu ungeenda uswahilini ungewakuta watu kibao wanaumwa
We unatembea ushuani unge ingia uswahilini huko ukawaone ungekimbia alafu watu wale walivyo washenzi ukiwaangalia wanakupanulia macho ili na wewe ukupateNajifungia ndani ili nile magodoro sio? Nje natoka, na ninatembea vizuri tu. Ila sijawaona red eyes.
Siendi..We unatembea ushuani unge ingia uswahilini huko ukawaone ungekimbia alafu watu wale walivyo washenzi ukiwaangalia wanakupanulia macho ili na wewe ukupate
Naam alafu ukimwagilia moyo mafua ya kijinga jinga unayasikia kwenye bomba tu.Maisha ni hekaheka.Ndiyo maana unaekekezwa ukipata fursa na fedha mwagilia moyo.