Pre GE2025 Haya Maridhiano yanamjenga Rais Samia au yanambomoa kuelekea 2025?

Pre GE2025 Haya Maridhiano yanamjenga Rais Samia au yanambomoa kuelekea 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanasayansi wa Siasa wanashauri vibaya kamati ya Siasa CCM Kuna hatari mbele yao. Hawataamini macho Yao. Usifanyie majaribio Maisha ya Watu usimpime Mpinzani wako . Fomula kuu ni Ile ile Mpinzani wako mkandamize mpaka Mwisho .Ukimpa mwanya kidogo tu imekula kwako.
 
Hao wapinzani waangalie na wakae kwa makini hawamjui mama vizuri anawavuta kwa karibu dawa Yao ipo jikoni inachemka, adui yako mvute karibu litawakuta jambo, taratibu bila haraka bila kuacha ushahidi, huyo ni mzenji so wakae tako moja nje wasijiaminishe sana.
 
Mpumbavu tema povu hadi upasuke, kenge wewe, huwezi kubadili chochote katika Tanzania hii ambacho Samia atakitaka, kajinyonge ukakutane na lile shetani motoni
Kuzaa na vichaa laana mtarithishwa hadi kizazi cha saba, wewe naye utazalishwa na vichaa kama mamako.
 
Kuzaa na vichaa laana mtarithishwa hadi kizazi cha saba, wewe naye utazalishwa na vichaa kama mamako.
Utatukana sana wewe mnyonge, mtetezi wenu jambazi keshazikwa, utaishi kwa majonzi maisha yako yote
 
Usiwakosee wasukuma nao ni Watanzania ingekua Katiba inazuia kifo Marais watatu tungekua nao Hadi leo tuwe na hoja za kujenga siyo kubomoa elewa mada ukabila na ukanda hauwezi kujenga Taifa Bali umoja na mshikamano tusiwe Kama Simba na Yanga hata Azam na Singida pia wanastahili heshima shekhee wangu😁 tunampenda Amiri Jeshi zaidi yako ila hoja ujibiwa kwa hoja siuo kashfa na kujimwambafai Kama Bwana Yulee😀😀😀

Nani amekuambia sukuma gang ni kabila boss? Sukuma gang ni kundi hatari la rais muovu wa awamu ya tano lililokuwa likifanyia watu ukatili ili rais yule afie madarakani.
 
Nani amekuambia sukuma gang ni kabila boss? Sukuma gang ni kundi hatari la rais muovu wa awamu ya tano lililokuwa likifanyia watu ukatili ili rais yule afie madarakani.
Kwahyo kilikua kikundi Cha kigaidi?😀 Ina maana deep state walitimiza majukumu yao kwa usahihi? Na vp hawa wanamuandalia Mama yetu anguko kwa mgongo wa Maridhiano badala ya kuwaangalia customers wanavyoteketea?
 
Sio kikundi cha kigaidi cha kawaida. Deep state kutekeleza amri zisizo halali ni kushiriki ukatili na unyama. Hakuna rais anaangushwa kirahisi huku Afrika, labda aaumue kuachia mwenyewe. Hivyo vitisho vya kijinga kwa huyo mama labda sio kwa katiba hii.
 
Mama anabomolewa. Usimwamini mchaga hata chembe. Wanafiki sana. Waliwahi kuomba uhuru wa mkoa wao tu waache mikoa mingine.

Mama ameingia king watamla muda si mrefu. Wasaliti hao.

Mama anaharibia wana CCM wenzake akidhani CDM itamsaidia.

Dobo hilo!!!!
Mama alikuwa akisifiwa sana ccm huku wakimchimba chini kwa chini Sasa kamuwa kuwa nutrual kwa njia ya maridhiano Bado hamridhiki?
 
Sio kikundi cha kigaidi cha kawaida. Deep state kutekeleza amri zisizo halali ni kushiriki ukatili na unyama. Hakuna rais anaangushwa kirahisi huku Afrika, labda aaumue kuachia mwenyewe. Hivyo vitisho vya kijinga kwa huyo mama labda sio kwa katiba hii.
Kuna Madini mda huu ITV-Kipima Joto.
 
Attachments

  • IMG_20230310_214452_210.jpg
    IMG_20230310_214452_210.jpg
    1 MB · Views: 2
  • IMG_20230310_214421_553.jpg
    IMG_20230310_214421_553.jpg
    712.6 KB · Views: 2
Wanasayansi wa Siasa wanashauri vibaya kamati ya Siasa CCM Kuna hatari mbele yao. Hawataamini macho Yao. Usifanyie majaribio Maisha ya Watu usimpime Mpinzani wako . Fomula kuu ni Ile ile Mpinzani wako mkandamize mpaka Mwisho .Ukimpa mwanya kidogo tu imekula kwako.
Dunia imestarabika sasa hivi, huwezi kuongoza inchi kwa kutegemea chawa, wanaitajika wapinzani ili waweze kuikosoa selikali, siyo kuunga mkono kila kitu
 
Usiwakosee wasukuma nao ni Watanzania ingekua Katiba inazuia kifo Marais watatu tungekua nao Hadi leo tuwe na hoja za kujenga siyo kubomoa elewa mada ukabila na ukanda hauwezi kujenga Taifa Bali umoja na mshikamano tusiwe Kama Simba na Yanga hata Azam na Singida pia wanastahili heshima shekhee wangu[emoji16] tunampenda Amiri Jeshi zaidi yako ila hoja ujibiwa kwa hoja siuo kashfa na kujimwambafai Kama Bwana Yulee[emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe mwenyewe post yako imekaa kikubomoa na si kujenga, ungekuwa na nia ya kujenga usingeandika hilo bandiko lako kipumbavu na ki-Sukuma gang na kinazi kama ulivyoliandika.
Huo Usukuma gang wenu unawapofusha ndiyo maana hata post zenu zinakuwa za kipumbavu sana.
Usingekuwa mtu wa kushabikia utengano kwa sababu za utofauti wa kiitikadi(hii ni sawa na ukabila, udini na ukanda) na usingepinga maridhiano kwani nchi ni ya Watanzania wote, Jiwe aliichafua na kuiharibu nchi kwa siasa zake za ukanda na ukabila pia ukatili wa kuua na kutesa wale wenye mitazamo tofauti na ya kwake goodness akafa na nchi ikapona kutoka katika mpasuko na utengano aliokuwa ameusababisha.
Wale wenye roho chafu ndiyo bado wanatamani uadui na utengano baina ya Watanzania uendelee.
 
Unao Uhuru wa kutoa maoni Wala siwezi kupingana na wewe udadisi wa hoja/kupata kile unachohitaji hufanywa kwa njia nyingi Kaka yaani upo jamii forums na bado mbinu ndogo Kama hizo unashindwa kuzing'amua kweli? Kuna njia nyingi za uandishi ili kupata mawazo na mitazamo ya jamii juu ya Jambo Fulani na ndiyo lengo langu na ili upate lazma utumie njia itakayokusaidia kuibua hoja kwq haraka(Uandishi wenye utata)
 
Wanajukwaa kumekua na Siasa mpya ndani ya Nchi yetu iliyopewa jina "Maridhiano" umekua ngumu kutofautisha vyama vya upinzani na chama tawala kwasababu ya Viongozi wao kuwa machawa wa Rais nazungumza hili kwa uhalisia uliopo sasa. Lakini nina mashaka ndani ya hii Siasa mapya inayoitwa Maridhiano. Je, inamjenga Rais au inabomoa Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe Kisiasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025?

Hoja zangu ni hizi:

1. Rais amesahau kujishughulisha na hali ngumu ya Maisha kwa Wananchi na kupanda kwa gharama za maisha kwa ujumla.

2. Wale wapinzani wanaomsifia leo ndiyo hao kesho watasimama jukwaani na kupigia kelele hali ya Maisha yalivyo sasa.

3. Kuwakumbatia wapinzani ni sawa na kumkumbatia nyuki kwa maono ya kupata asali kiganjani.

Mimi nahisi Kama CCM wametafuta namna ya kumtoa Samia katika Siasa za ushindani ili iwe rahisi kwao kumuwekea kauzibe ugombea 2025.Mama Sasa anasifiwa anaupiga mwingi lakini wengi wanaomsifia ni Viongozi wa vyama vya Upinzani ambao kiidadi hawafiki hata 10 lakini rest ya Watanzania wenye sifa ya kupiga kura takribani M15-20wanalia na hali ngumu ya Maisha na upandaji wa Bei ya vitu kila uchwao na vilio kwasasa vimeongezeka zaidi na kuvuka mipaka.

Hadi uko ndani ya chama tawala hali siyo shwari.Wengi wanatamka hadharani hawamuelewi hata kidogo Bora hata JPM kila kitu ndani ya Nchi akishkiki Bei za vyakula,mzunguko wa biashara TRA wamekua kero na Watu wengi kwasasa wanafunga biashara kutokana na mlolongo wa Kodi zisizo na kichwa Wala miguu,kwa kifupi gharama za Maisha hazikamatiki Nchi inaendelea kukopa kwa kasi ya ajabu, umeme umekua kero Kubwa.

RASILIMALI za Nchi zinaliwa na kundi dogo la watu ndani ya Nchi Mama hata ajali yeye Yuko bize na Wapinzani na Sasa hili limekwenda mbali zaidi mbele za kamera za waandishi wanaomsifia Ila nyuma ya kamera wanatoa Siri na udhaifu mkubwa kuwahi kutokea wa serikali yetu tangu Uhuru katika awamu hii.

Ni Nani atanusuru huu mkatiko? Au Mama ameamua liwalo na liwe yeye 2025 hana haja Tena ya kugombea? Ukitizama kwa makini Mama maejichimbia kaburi lake mwenyewe Kisiasa kwani hao wanaomzunguka ndani ya chama ndiyo wanaofanikisha mipango yote ya kuhakikisha kwamba 2025 hagombei tena.

Mama anamalizwa kijasusi na hii slogan ya Maridhiano Bora angebaki njia kuu a deal na mfumuko wa Bei unaoendela Nchini biashara nyingi zinafungwa hali Ni tete Sana. Mwisho namuombea kwa Mwenyezi Mungu amuepushie hiki kikombe, Mungu Ibariki Tanzania.
Kwa sababu ulizotoa hapa hamna hata moja inayoweza kumbomoa mama au kumbomoa taasisi yake ya urais.
1,kumbuka urais sio taasis ya kichama ni taasis ya wananchi bila kujali itijadi zao za kisiasa, dini,rangi,kabisa Wala kabila.
2,hoja YAKO yakuhusu wapinzani 10 kumsifia kuhusu kuupiga mwingi kwanza ndio naisikia kwako,ninachojua nikwambia kauli hii imekuwa ikitolewa na wafuasi wa chama chake ccm.
3,kuhusu bidhaa mbalimbali ikiwemo chakula kupanda Bei ni suala liliopigiwa kelele na watu mbalimbali wakiwemo wapinzani kwa muda mrefu sana .lakini ukweli ni kwamba sio tanzania tu inaypitia magumu haya kwa sasa karibu nchi nyingi zinapitia kipindi hiki kutokana na mtikisiko mkubwa uliokumba dunia baada ya kimbunga cha korona na hatimae vita vya Ukraine ,kupanda kwa Bei za mafuta nk.
4,kuhusu kupanda Bei ya chakula kupanda Bei,nampongeza rais Dr Samia suluhu Hassan na serikali yake kwa kukumkumbuka mkulima wa nchi hii.kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka Saba iliyopita mwaka huu mkulima ndio ameona faida ya kulima.maana huko nyuma mkulima alikuwa anapangiwa Bei ya pembejeo na Bei ya mazao yake sokoni kitu ambacho hakikuwa SawA.safari hii mkulima anapangiwa Bei ya pembejeo lakini Bei ya mazao yake linapanga soko.safari kweli kilimo ni biashara tena inayolipa.
Mwisho napenda kumpongeza mh Dr Samia suluhu Hassan rais wa tanzania kwa hatua za maksudi Amazon chukua za kuwaunhanisha watanzania bila kujali itijadi zao za kisiasa.na hili analifanya kwa roho Safi akiweka maslahi ya taifa LETU la tanzania mbele kuliko urais wake na vyama vya siasa.God bless tanzania God bless our president.
 
Mleta mada elewa kuwa;
1. Maelewano ni amri ya Mwenyezi Mungu na mama SSH ni mcha Mungu
2. Amani na umoja huinua Taifa na ubatili huangamiza Taifa, Mama SSH ni muumini wa hili.
Kutokana na hayo Mama SSH anajijenga zaidi na sio Tz tui bali hata Mbinguni.
Ni uzao wa shetani tu unaoweza kuona tofauti na hapo!
 
Kama mnakumbuka vizuri, CHADEMA waliyaomba haya maridhiano wakiwa mwanza siku ya Uhuru na Rais JPM , bahati mbaya mwendazake hakuwasikiliza akatupilia mbali. Leo mama karidhiana na CHADEMA sasa mambo yanakwenda.

Nani anafaidika zaidi na haya maridhiano?
Kwa mtazamo wa kisayansi wa kisiasa, mama amepata credit, political legitimacy. Siasa ni sayansi, amefanikiwa kuliweka taifa pazuri kisiasa.
 
Back
Top Bottom