KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
ExactlyYamemjengea heshima kubwa!
Kuzaa na vichaa laana mtarithishwa hadi kizazi cha saba, wewe naye utazalishwa na vichaa kama mamako.Mpumbavu tema povu hadi upasuke, kenge wewe, huwezi kubadili chochote katika Tanzania hii ambacho Samia atakitaka, kajinyonge ukakutane na lile shetani motoni
Utatukana sana wewe mnyonge, mtetezi wenu jambazi keshazikwa, utaishi kwa majonzi maisha yako yoteKuzaa na vichaa laana mtarithishwa hadi kizazi cha saba, wewe naye utazalishwa na vichaa kama mamako.
Usiwakosee wasukuma nao ni Watanzania ingekua Katiba inazuia kifo Marais watatu tungekua nao Hadi leo tuwe na hoja za kujenga siyo kubomoa elewa mada ukabila na ukanda hauwezi kujenga Taifa Bali umoja na mshikamano tusiwe Kama Simba na Yanga hata Azam na Singida pia wanastahili heshima shekhee wangu😁 tunampenda Amiri Jeshi zaidi yako ila hoja ujibiwa kwa hoja siuo kashfa na kujimwambafai Kama Bwana Yulee😀😀😀
Kwahyo kilikua kikundi Cha kigaidi?😀 Ina maana deep state walitimiza majukumu yao kwa usahihi? Na vp hawa wanamuandalia Mama yetu anguko kwa mgongo wa Maridhiano badala ya kuwaangalia customers wanavyoteketea?Nani amekuambia sukuma gang ni kabila boss? Sukuma gang ni kundi hatari la rais muovu wa awamu ya tano lililokuwa likifanyia watu ukatili ili rais yule afie madarakani.
Kwahyo kilikua kikundi Cha kigaidi?😀 Ina maana deep state walitimiza majukumu yao kwa usahihi? Na vp hawa wanamuandalia Mama yetu anguko kwa mgongo wa Maridhiano badala ya kuwaangalia customers wanavyoteketea?
Mama alikuwa akisifiwa sana ccm huku wakimchimba chini kwa chini Sasa kamuwa kuwa nutrual kwa njia ya maridhiano Bado hamridhiki?Mama anabomolewa. Usimwamini mchaga hata chembe. Wanafiki sana. Waliwahi kuomba uhuru wa mkoa wao tu waache mikoa mingine.
Mama ameingia king watamla muda si mrefu. Wasaliti hao.
Mama anaharibia wana CCM wenzake akidhani CDM itamsaidia.
Dobo hilo!!!!
Amna heshima kwa watu wenye njaa mkuu muda utaamuaYamemjengea heshima kubwa!
Kuna Madini mda huu ITV-Kipima Joto.Sio kikundi cha kigaidi cha kawaida. Deep state kutekeleza amri zisizo halali ni kushiriki ukatili na unyama. Hakuna rais anaangushwa kirahisi huku Afrika, labda aaumue kuachia mwenyewe. Hivyo vitisho vya kijinga kwa huyo mama labda sio kwa katiba hii.
Kuna Madini mda huu ITV-Kipima Joto.
Dunia imestarabika sasa hivi, huwezi kuongoza inchi kwa kutegemea chawa, wanaitajika wapinzani ili waweze kuikosoa selikali, siyo kuunga mkono kila kituWanasayansi wa Siasa wanashauri vibaya kamati ya Siasa CCM Kuna hatari mbele yao. Hawataamini macho Yao. Usifanyie majaribio Maisha ya Watu usimpime Mpinzani wako . Fomula kuu ni Ile ile Mpinzani wako mkandamize mpaka Mwisho .Ukimpa mwanya kidogo tu imekula kwako.
wapumbavu pekee wa sukuma gang ndio wanaweza kuamin kauli hio maana sukuma gang wanajua upinzan ukishika dola lazima waende burundi watake wasitake.Haamna sura za kushika dola, wacha kujitia wehu
Wewe mwenyewe post yako imekaa kikubomoa na si kujenga, ungekuwa na nia ya kujenga usingeandika hilo bandiko lako kipumbavu na ki-Sukuma gang na kinazi kama ulivyoliandika.Usiwakosee wasukuma nao ni Watanzania ingekua Katiba inazuia kifo Marais watatu tungekua nao Hadi leo tuwe na hoja za kujenga siyo kubomoa elewa mada ukabila na ukanda hauwezi kujenga Taifa Bali umoja na mshikamano tusiwe Kama Simba na Yanga hata Azam na Singida pia wanastahili heshima shekhee wangu[emoji16] tunampenda Amiri Jeshi zaidi yako ila hoja ujibiwa kwa hoja siuo kashfa na kujimwambafai Kama Bwana Yulee[emoji3][emoji3][emoji3]
Unao Uhuru wa kutoa maoni Wala siwezi kupingana na wewe udadisi wa hoja/kupata kile unachohitaji hufanywa kwa njia nyingi Kaka yaani upo jamii forums na bado mbinu ndogo Kama hizo unashindwa kuzing'amua kweli? Kuna njia nyingi za uandishi ili kupata mawazo na mitazamo ya jamii juu ya Jambo Fulani na ndiyo lengo langu na ili upate lazma utumie njia itakayokusaidia kuibua hoja kwq haraka(Uandishi wenye utata)Wewe mwenyewe post yako imekaa kikubomoa na si kujenga, ungekuwa na nia ya kujenga usingeandika hilo bandiko lako kipumbavu na ki-Sukuma gang na kinazi kama ulivyoliandika.
Huo Usukuma gang wenu unawapofusha ndiyo maana hata post zenu zinakuwa za kipumbavu sana.
Usingekuwa mtu wa kushabikia utengano kwa sababu za utofauti wa kiitikadi(hii ni sawa na ukabila, udini na ukanda) na usingepinga maridhiano kwani nchi ni ya Watanzania wote, Jiwe aliichafua na kuiharibu nchi kwa siasa zake za ukanda na ukabila pia ukatili wa kuua na kutesa wale wenye mitazamo tofauti na ya kwake goodness akafa na nchi ikapona kutoka katika mpasuko na utengano aliokuwa ameusababisha.
Wale wenye roho chafu ndiyo bado wanatamani uadui na utengano baina ya Watanzania uendelee.
Kwa sababu ulizotoa hapa hamna hata moja inayoweza kumbomoa mama au kumbomoa taasisi yake ya urais.Wanajukwaa kumekua na Siasa mpya ndani ya Nchi yetu iliyopewa jina "Maridhiano" umekua ngumu kutofautisha vyama vya upinzani na chama tawala kwasababu ya Viongozi wao kuwa machawa wa Rais nazungumza hili kwa uhalisia uliopo sasa. Lakini nina mashaka ndani ya hii Siasa mapya inayoitwa Maridhiano. Je, inamjenga Rais au inabomoa Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe Kisiasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025?
Hoja zangu ni hizi:
1. Rais amesahau kujishughulisha na hali ngumu ya Maisha kwa Wananchi na kupanda kwa gharama za maisha kwa ujumla.
2. Wale wapinzani wanaomsifia leo ndiyo hao kesho watasimama jukwaani na kupigia kelele hali ya Maisha yalivyo sasa.
3. Kuwakumbatia wapinzani ni sawa na kumkumbatia nyuki kwa maono ya kupata asali kiganjani.
Mimi nahisi Kama CCM wametafuta namna ya kumtoa Samia katika Siasa za ushindani ili iwe rahisi kwao kumuwekea kauzibe ugombea 2025.Mama Sasa anasifiwa anaupiga mwingi lakini wengi wanaomsifia ni Viongozi wa vyama vya Upinzani ambao kiidadi hawafiki hata 10 lakini rest ya Watanzania wenye sifa ya kupiga kura takribani M15-20wanalia na hali ngumu ya Maisha na upandaji wa Bei ya vitu kila uchwao na vilio kwasasa vimeongezeka zaidi na kuvuka mipaka.
Hadi uko ndani ya chama tawala hali siyo shwari.Wengi wanatamka hadharani hawamuelewi hata kidogo Bora hata JPM kila kitu ndani ya Nchi akishkiki Bei za vyakula,mzunguko wa biashara TRA wamekua kero na Watu wengi kwasasa wanafunga biashara kutokana na mlolongo wa Kodi zisizo na kichwa Wala miguu,kwa kifupi gharama za Maisha hazikamatiki Nchi inaendelea kukopa kwa kasi ya ajabu, umeme umekua kero Kubwa.
RASILIMALI za Nchi zinaliwa na kundi dogo la watu ndani ya Nchi Mama hata ajali yeye Yuko bize na Wapinzani na Sasa hili limekwenda mbali zaidi mbele za kamera za waandishi wanaomsifia Ila nyuma ya kamera wanatoa Siri na udhaifu mkubwa kuwahi kutokea wa serikali yetu tangu Uhuru katika awamu hii.
Ni Nani atanusuru huu mkatiko? Au Mama ameamua liwalo na liwe yeye 2025 hana haja Tena ya kugombea? Ukitizama kwa makini Mama maejichimbia kaburi lake mwenyewe Kisiasa kwani hao wanaomzunguka ndani ya chama ndiyo wanaofanikisha mipango yote ya kuhakikisha kwamba 2025 hagombei tena.
Mama anamalizwa kijasusi na hii slogan ya Maridhiano Bora angebaki njia kuu a deal na mfumuko wa Bei unaoendela Nchini biashara nyingi zinafungwa hali Ni tete Sana. Mwisho namuombea kwa Mwenyezi Mungu amuepushie hiki kikombe, Mungu Ibariki Tanzania.