Wewe ni mjinga, kumbe nchi hii wajinga wengi hata jamii forum wamo. Acha unazi unaokutoa hata kwenye mstari . Una roho mbaya kuliko hata shetaniViatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?
Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.
Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..
View attachment 2646665
View attachment 2646666
Wachezaji wazawa hawana tofauti na wafanyakazi wazawa kwenye makampuni yanayoajiri wageni.Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?
Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.
Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..
View attachment 2646665
View attachment 2646666
Sio uongoWewe ni mjinga, kumbe nchi hii wajinga wengi hata jamii forum wamo. Acha unazi unaokutoa hata kwenye mstari . Una roho mbaya kuliko hata shetani
Shida ilianzia hukuSio uongo
~Koti la Fei toto na kibwana lilikua la mtumba
~Suti ya mwakalebela ni hudhuni
~Diarra kavaa buti la mtumba tena alilonunua kule kwao
~Wachezaji wa UTO kwq ground wanamaisha magumu sana
View attachment 2646676