Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀 😀 😀 kwa hiyo hao wengine waliovaa vizuri wamekuja na bajaji au?? jamaa kazingua inabdi ajiweke kiproffesional kuanzia uvaaji kesho club flani inaweza muhitaji ila ikamwambia hela ya kifalaa sababu kajiweka cheap.
yaah mkuu yani jamaa ndo anatengeneza jina hivii so asijiweke ovyoo ovyoo... binadamu tunatabia ya kumkadiria mtu kuanzia uvaaji wake so ajiweke smart hivyo viatu as if kaokotaa alafu anakuja kwenye appearance kama hiyo. kuna shida mahaliMpira na ubishoo ni mbali mbali.ndio maana mess alitinga na pensi nchi ua watu wamekwenda kumpokea na suti.
Labda wa kuwalaumu ni wale waliomuona anatoka hivyo kisha wakamwacha tu.
yaah mkuu yani jamaa ndo anatengeneza jina hivii so asijiweke ovyoo ovyoo... binadamu tunatabia ya kumkadiria mtu kuanzia uvaaji wake so ajiweke smart hivyo viatu as if kaokotaa alafu anakuja kwenye appearance kama hiyo. kuna shida mahali
Aliyejigubika kwa kanzu na vitambaa ni nani?Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?
Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.
Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..
View attachment 2646665
View attachment 2646666
Angevaa ya bati si ya kitambaa. Ninjuavyo mimi nguo huwa ni za vitambaa siyo chumaViatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?
Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.
Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..
View attachment 2646665
View attachment 2646666
Ulishawahi kusikia mtu ana faullu mtihani kwa kuwa na mwandiko mzuri
Zile za mama ulishawahi kusikia zikichukuliwa na yyte zaidi ya wachezaji na technical bench? Au ndo magazeti ya shigongo . Akili yako inafikiria vizuri kweli wewe? Yaani mtu akaushwe damu halafu alipwe ml 4? Wewe unalipwa ngapi...Fei kasema Yanga ni kausha damu, na hizo hela hapo wanazitaka. Utasikia bila Yanga Diamond asingekujua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani km vya pale karume buku 4.