Haya mavazi ya Kipa wa Yanga, Diarra yanafikirisha sana

Haya mavazi ya Kipa wa Yanga, Diarra yanafikirisha sana

Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?

Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.

Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..

View attachment 2646665

View attachment 2646666
Unazingua na wewe una matatizo ya kiakili.
Kati ya huyo kipa na msemaji wao ni nani aliye vaa kiheshima?
Acha ubaguzi.
 
Unazingua na wewe una matatizo ya kiakili.
Kati ya huyo kipa na msemaji wao ni nani aliye vaa kiheshima?
Acha ubaguzi.
-von819.jpg
 
Jamaa analipwa pesa nzuri sana ambayo kibongo bongo inge muwezesha kuishi maisha ya Wastani, Useme anaweza kuwa na familia kubwa inayomtegemea huko kwao.

Maana Waafrika ukishapata Ajira tu basi ndugu kama wote wanakuja kukulia shida kila mwisho wa mwezi
 
Jitahidi ujue mavazi mzee wakati mwingine ukiona kitu kaa kimya hivi kwa maisha ya Diara anaweza kuvaa kiatu cha elfu mbili (akivaa kaamua) kukaa kimya ni kuzuri kunaficha aibu ndogondogo kama sasahivi ushaonekana kimavazi uko nyuma maili nyingi
 
ach akuleta siasa kijanaaaa.... hili likiatuu sio hadhi yake hasa mtu kama yeye ambae bado ana safari ndefu ya mpira apperance ina matter.
 
jamani nimeangalia vizuri kumbe ni RANGI YA CHUI CHUI... sio ukunguu 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ila diara nae usukuma mwingii
 
Nenda kaulizia bei mavazi wanayo vaa kama hutoshtuka.. kuna mavazi kwa macho ya kawaida unaweza hisi za sagula sagula kakuge sasa ndio utakimbia bei zake

Namaanisha wanavaa mavazi ya kawaida siyo ya madizaina wakubwa kama LV ,Prada.Gucci,Amiri,Dior,D&G etc yaani ni Chataless.
 
Zile za mama ulishawahi kusikia zikichukuliwa na yyte zaidi ya wachezaji na technical bench? Au ndo magazeti ya shigongo . Akili yako inafikiria vizuri kweli wewe? Yaani mtu akaushwe damu halafu alipwe ml 4? Wewe unalipwa ngapi...
Ushabiki usikutoe fahamu, unajua naingiza kiasi gani? Au unataka nitaje ionekane nakunyanyasa ndani ya nchi yako? You're playing with lion's balls son.
 
ach akuleta siasa kijanaaaa.... hili likiatuu sio hadhi yake hasa mtu kama yeye ambae bado ana safari ndefu ya mpira apperance ina matter.
Oyaaa acha kujiaibisha kiatu kinauzwa laki tatu naa .... unasema siasa wakati mwingine mkaage kimya sio kujikuta mnajua kila kitu mtaabika siku zingine
 
Back
Top Bottom