Haya mavazi ya Kipa wa Yanga, Diarra yanafikirisha sana

Haya mavazi ya Kipa wa Yanga, Diarra yanafikirisha sana

jamani nimeangalia vizuri kumbe ni RANGI YA CHUI CHUI... sio ukunguu 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ila diara nae usukuma mwingii

Mzee wetu wa masihara bado unabisha jamaa kavaa kiatu kibaya?
 
20230617_124624.jpg
 
Masikini hujui hata thamani ya hiyo Buti kumbe? Hiyo Buti thamani yake ni kuanzia Dollar 149 hutaki kafie bandarini ila huo ndio ukweli ewe majnun
 
Back
Top Bottom