Haya mavazi ya Kipa wa Yanga, Diarra yanafikirisha sana

Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?

Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.

Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..

View attachment 2646665

View attachment 2646666
Ukipendeza wwe inatosha kwan yeye kaja kweny mashindano ya fashion
 
Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?

Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.

Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..

View attachment 2646665

View attachment 2646666
Mwanaume kazi !
 
Hivi YANGA WANALIPA MISHAHARA KWELI?????
Hapana hicho kiatu aibuu sanaa labda kuna ujumbe anataka Kutumaa Hajavaa kwa bahati mbayaa. Kiatu kimepaukaaa kiko upende upandee kama fungus weupe kwa mbalii jamani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Fei itakuwa anasema ukweli.
 
Makolo wataongea mengi.
JamiiForums-1535874352.jpg
 
Kana
Sometimes kuvaa vizuri au kua smart ni tabia ya mtu tu au maamuzi yake ila haimaanishi mtu huyo kua hana hela,inategemea pia na hilo tukio alilichukuliaje,huenda ameona ni tukio la kawaida tu,
Nina imani akienda ikulu kwenye mualiko atavaa vizuri tu coz atalichukulia hilo tukio ni muhimu zaidi kwake,kingine hakuenda hapo wasafi kuuza sura,

Yangu ni hayo tu kwa leo.
 
Attachments

  • images (22).jpeg
    images (22).jpeg
    21 KB · Views: 15
  • images (21).jpeg
    images (21).jpeg
    11.9 KB · Views: 15
  • images (20).jpeg
    images (20).jpeg
    30.4 KB · Views: 13
Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?

Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.

Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..

View attachment 2646665

View attachment 2646666
Acha ushamba buti la jeje hilo
 
Haya mambo ndio alikataaga Wolper miaka ile. Mnampiga picha na tecno zenu, anatokea vibaya Kisha mnaanza kumsema mitandaoni.
 
Pengine Alikuwa mgambo kabla ya kuwa kipa sasa kavaa viati vyake vya ugamboni.
 
Ukiishakuwa na hela kila kitu kinakosa maana.

Sasa mtu kavaa huo mkiatu na nje kapaki harrier,wewe ukikaba timberland na umekuja na daladala ina maana gani kiongozi???
 
😀 😀 😀 😀 kwa hiyo hao wengine waliovaa vizuri wamekuja na bajaji au?? jamaa kazingua inabdi ajiweke kiproffesional kuanzia uvaaji kesho club flani inaweza muhitaji ila ikamwambia hela ya kifalaa sababu kajiweka cheap.
 
Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?

Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.

Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..

View attachment 2646665

View attachment 2646666
Namuona hapo kwenye picha Al Duktuur shekh Diamond Al-platnumz 🤣
 
Back
Top Bottom