Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Muambieni fey ahamie kwenye timu ambayo ataruhusiwa kulipwa mshahara na kuvunja mkataba muda wowote atakao.kenge kabisaWachezaji wazawa hawana tofauti na wafanyakazi wazawa kwenye makampuni yanayoajiri wageni.
mindset ya waajiri
Ukipendeza wwe inatosha kwan yeye kaja kweny mashindano ya fashionViatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?
Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.
Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..
View attachment 2646665
View attachment 2646666
Mwanaume kazi !Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?
Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.
Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..
View attachment 2646665
View attachment 2646666
Wanamaisha magumu lakini wanatoa matokeo chanya kuliko wa Simba wenye maisha mazuriSio uongo
~Koti la Fei toto na kibwana lilikua la mtumba
~Suti ya mwakalebela ni hudhuni
~Diarra kavaa buti la mtumba tena alilonunua kule kwao
~Wachezaji wa UTO kwq ground wanamaisha magumu sana
View attachment 2646676
π π π π π π π π π πlakuchumpaaa lililopaukaaaHilo ni la kuchumpa lakuparama,na hii sarawili na wasiwasi kaazima sijui kwa Morison.
Acha kumfananisha shetani na vitu vya kijinga jinga.Shetani alishindana mpaka na Mungu ndio umfananishe na huyu mjinga mmoja asiyejulikana hata mtaani kwake anakoishiUna roho mbaya kuliko hata shetani
Sometimes kuvaa vizuri au kua smart ni tabia ya mtu tu au maamuzi yake ila haimaanishi mtu huyo kua hana hela,inategemea pia na hilo tukio alilichukuliaje,huenda ameona ni tukio la kawaida tu,
Nina imani akienda ikulu kwenye mualiko atavaa vizuri tu coz atalichukulia hilo tukio ni muhimu zaidi kwake,kingine hakuenda hapo wasafi kuuza sura,
Yangu ni hayo tu kwa leo.
Kwani amevunja sheria za nchi ganiNguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.
Acha ushamba buti la jeje hiloViatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?
Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.
Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..
View attachment 2646665
View attachment 2646666
Haya mambo ndio alikataaga Wolper miaka ile. Mnampiga picha na tecno zenu, anatokea vibaya Kisha mnaanza kumsema mitandaoni.Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?
Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.
Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..
View attachment 2646665
View attachment 2646666
Ukiishakuwa na hela kila kitu kinakosa maana.
Sasa mtu kavaa huo mkiatu na nje kapaki harrier,wewe ukikaba timberland na umekuja na daladala ina maana gani kiongozi???
Namuona hapo kwenye picha Al Duktuur shekh Diamond Al-platnumz π€£Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?