Haya mavazi ya Kipa wa Yanga, Diarra yanafikirisha sana

😀 😀 😀 😀 kwa hiyo hao wengine waliovaa vizuri wamekuja na bajaji au?? jamaa kazingua inabdi ajiweke kiproffesional kuanzia uvaaji kesho club flani inaweza muhitaji ila ikamwambia hela ya kifalaa sababu kajiweka cheap.

Mpira na ubishoo ni mbali mbali.ndio maana mess alitinga na pensi nchi ua watu wamekwenda kumpokea na suti.

Labda wa kuwalaumu ni wale waliomuona anatoka hivyo kisha wakamwacha tu.
 
Mpira na ubishoo ni mbali mbali.ndio maana mess alitinga na pensi nchi ua watu wamekwenda kumpokea na suti.

Labda wa kuwalaumu ni wale waliomuona anatoka hivyo kisha wakamwacha tu.
yaah mkuu yani jamaa ndo anatengeneza jina hivii so asijiweke ovyoo ovyoo... binadamu tunatabia ya kumkadiria mtu kuanzia uvaaji wake so ajiweke smart hivyo viatu as if kaokotaa alafu anakuja kwenye appearance kama hiyo. kuna shida mahali
 
Aibu jamani, serious mtu uaanzisha topic kama hii?
 
Na wale matajir wa mwanza wanavaa yeboyebo oversize utasemaje
 
Men at Work

Hiyo buti la kuchumpa la Kumpa Rama, ikipigwa maji inatosha mambo ya neutral na Dye peleka kwenye moka
 
yaah mkuu yani jamaa ndo anatengeneza jina hivii so asijiweke ovyoo ovyoo... binadamu tunatabia ya kumkadiria mtu kuanzia uvaaji wake so ajiweke smart hivyo viatu as if kaokotaa alafu anakuja kwenye appearance kama hiyo. kuna shida mahali

Ila nina uhakika sio ya pesa.

Ndio maana sina shaka[emoji28][emoji28]
 
Aliyejigubika kwa kanzu na vitambaa ni nani?
 
Angevaa ya bati si ya kitambaa. Ninjuavyo mimi nguo huwa ni za vitambaa siyo chuma
 
Khaaa sasa wana attack mavazi na personality.....amekuja kutafuta pesa sio kushindana kuvaa...acheni azichange mpira una muda mfupi sana...
 
Fei kasema Yanga ni kausha damu, na hizo hela hapo wanazitaka. Utasikia bila Yanga Diamond asingekujua.
 
Fei kasema Yanga ni kausha damu, na hizo hela hapo wanazitaka. Utasikia bila Yanga Diamond asingekujua.
Zile za mama ulishawahi kusikia zikichukuliwa na yyte zaidi ya wachezaji na technical bench? Au ndo magazeti ya shigongo . Akili yako inafikiria vizuri kweli wewe? Yaani mtu akaushwe damu halafu alipwe ml 4? Wewe unalipwa ngapi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…