Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kumfananisha shetani na vitu vya kijinga jinga.Shetani alishindana mpaka na Mungu ndio umfananishe na huyu mjinga mmoja asiyejulikana hata mtaani kwake anakoishi
Unazingua na wewe una matatizo ya kiakili.Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?
Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu kabisaaaaa, buti kuuubwa la mtumba halafu hata rangi halijapigwa.
Kwa timu iliyofika fainali ya shirikisho, wachezaji wake hawapaswi kupitia haya, kwenye hizo bilioni kadhaa, wapeni wachezaji wenu hata milioni 20 tuu kila mmoja ili hizi aibu ndogondogo zisijitokeze..
View attachment 2646665
View attachment 2646666
Nenda kaulizia bei mavazi wanayo vaa kama hutoshtuka.. kuna mavazi kwa macho ya kawaida unaweza hisi za sagula sagula kakuge sasa ndio utakimbia bei zakeUshaona mavazi ya Bill Gate au Maki Zukabegi?
Hii ni sawa na kusema washiriki wote wa graduation ambao hawajavaa suti siku hiyo degree zao hazitambuliki??
Angalia picha iliyo full,wengine ni imani yao ya dini inawatuma kuvaa suruali fupi,lkn pia hajakosea hata kidogo.
ach akuleta siasa kijanaaaa.... hili likiatuu sio hadhi yake hasa mtu kama yeye ambae bado ana safari ndefu ya mpira apperance ina matter.Jitahidi ujue mavazi mzee wakati mwingine ukiona kitu kaa kimya hivi kwa maisha ya Diara anaweza kuvaa kiatu cha elfu mbili (akivaa kaamua) kukaa kimya ni kuzuri kunaficha aibu ndogondogo kama sasahivi ushaonekana kimavazi uko nyuma maili nyingi
Acha ujinga kiatu chake wewe kinakuhusu Nini ? mbweha weweViatu tuu alivyovaa vinatia huruma
Nenda kaulizia bei mavazi wanayo vaa kama hutoshtuka.. kuna mavazi kwa macho ya kawaida unaweza hisi za sagula sagula kakuge sasa ndio utakimbia bei zake
Ushabiki usikutoe fahamu, unajua naingiza kiasi gani? Au unataka nitaje ionekane nakunyanyasa ndani ya nchi yako? You're playing with lion's balls son.Zile za mama ulishawahi kusikia zikichukuliwa na yyte zaidi ya wachezaji na technical bench? Au ndo magazeti ya shigongo . Akili yako inafikiria vizuri kweli wewe? Yaani mtu akaushwe damu halafu alipwe ml 4? Wewe unalipwa ngapi...
This case is closed....Boma Ye! Boma Liwanza.View attachment 2647132
Huko twitter
Oyaaa acha kujiaibisha kiatu kinauzwa laki tatu naa .... unasema siasa wakati mwingine mkaage kimya sio kujikuta mnajua kila kitu mtaabika siku zingineach akuleta siasa kijanaaaa.... hili likiatuu sio hadhi yake hasa mtu kama yeye ambae bado ana safari ndefu ya mpira apperance ina matter.