jamani nimeangalia vizuri kumbe ni RANGI YA CHUI CHUI... sio ukunguu π π π π π π ila diara nae usukuma mwingii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]no ni classic ila kimechokaa mnooMzee wetu wa masihara bado unabisha jamaa kavaa kiatu kibaya?
Hizo koti kama mabawa ya mendeSio uongo
~Koti la Fei toto na kibwana lilikua la mtumba
~Suti ya mwakalebela ni hudhuni
~Diarra kavaa buti la mtumba tena alilonunua kule kwao
~Wachezaji wa UTO kwq ground wanamaisha magumu sana
View attachment 2646676