Tuwekeeni na kadi za gari ili mtuue kabisaa leo msitubakishee isije kua gari wamekod ili kutukomeshaa maana hata.ile nyumba ya milioni 400 hatukulala aisee eti kokuhilwa
Martin katoa wapi pesa ya kununua gariii hapo ndio mmenichoshaaa aisee
Hilo nalo swali wanalojiuliza wengi
Umenena kijiji ndo kilakitu...ila hawa na usanii wao hawashindwi tengeneza feki card.tz kilakitu kinawezekana dina.usimsalimie bwana ataringa...
Kesho na kesho kutwa utaskia alipa tu niendeshe kwasababu mskaji wangu...hahaaa.jamani mbona magari ni kitu cha kawaida Kama baiskeli tu.mie nionyeshe nyumba nitakuona wa maana gari?BIG NO
Kesho na kesho kutwa utaskia alipa tu niendeshe kwasababu mskaji wangu...hahaaa.jamani mbona magari ni kitu cha kawaida Kama baiskeli tu.mie nionyeshe nyumba nitakuona wa maana gari?BIG NO
Na hivi ye ni wa karibu atakua anaumwaa aisee
umenikumbusha ile VX ya ndomo hata iliyopoyeyukia haijulikani.
Maisha ya kwachukwachu ndio katoe BMW kuna kitu nyuma ya pazia. chibu fungua machooooHata mie nimeshangaa atakua bilionea sasa
Dina tusubiri na lulu maana na yeye tumeambiwa bilionea wake anampa mapesa mengi amfunike wema na kajala.Tutaona mengi.
tena ya isidingo
Maisha ya kwachukwachu ndio katoe BMW kuna kitu nyuma ya pazia. chibu fungua machoooo[/QUOTE
martin katumwa nini...afikishe zawadi
Maisha ya kwachukwachu ndio katoe BMW kuna kitu nyuma ya pazia. chibu fungua machoooo
Yaani wanatumia Nguvu nyingi kuonyesha malimwengu...ulimbukeni wao..mweee Jamani ushamba huu kweli mzigo wa miiba wapi Warumi Jamani.hawa maadmin Kama hawataki watu wachangie si waseme...uoga tu umewajaaNdio hivyoo kila siku magari yanatoka mapyaa hongera yaoo
Middle man Huku na yeye anasaidiwaMaisha ya kwachukwachu ndio katoe BMW kuna kitu nyuma ya pazia. chibu fungua machoooo[/QUOTE
martin katumwa nini...afikishe zawadi
Yote yatajulikana soonNdomo kaonyeshaa limorano sads ilo li bmw atujmui.km la mkongo au clemee kakumbukiaa
Nimekuja kuchukua kiti changu..........:wacko::wacko::wacko::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
Maisha ya kwachukwachu ndio katoe BMW kuna kitu nyuma ya pazia. chibu fungua machoooo[/QUOTE
martin katumwa nini...afikishe zawadi
anatumwa na anatumiwa vile vile...mjini matajiri wAnafaidi