Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
Tuwekeeni na kadi za gari ili mtuue kabisaa leo msitubakishee isije kua gari wamekod ili kutukomeshaa maana hata.ile nyumba ya milioni 400 hatukulala aisee eti kokuhilwa
Martin katoa wapi pesa ya kununua gariii hapo ndio mmenichoshaaa aisee

Hilo nalo swali wanalojiuliza wengi
 
Last edited by a moderator:
Umenena kijiji ndo kilakitu...ila hawa na usanii wao hawashindwi tengeneza feki card.tz kilakitu kinawezekana dina.usimsalimie bwana ataringa...

Gari mbona kama sio mpya . Hope ni 000km
 
Kesho na kesho kutwa utaskia alipa tu niendeshe kwasababu mskaji wangu...hahaaa.jamani mbona magari ni kitu cha kawaida Kama baiskeli tu.mie nionyeshe nyumba nitakuona wa maana gari?BIG NO

umenikumbusha ile VX ya ndomo hata iliyopoyeyukia haijulikani.
 
Kesho na kesho kutwa utaskia alipa tu niendeshe kwasababu mskaji wangu...hahaaa.jamani mbona magari ni kitu cha kawaida Kama baiskeli tu.mie nionyeshe nyumba nitakuona wa maana gari?BIG NO

Mimi.nitajiuwa km izo gari zinakadi ya tra original na zimeandikwa wema sepetu......I promise
 
kuna mtu kanuuuuuna???

10308154_684972388258863_8624684593590679742_n.jpg
 
tena ya isidingo

Hakika.
Hainaga kutabirika, wacha tuenjoy bhana kiroho safi. Halafu hawa watu wanajua kuumbua jameni khaaa, ebu fikiria waliokuwa wanamzodoa wema kwa ile habari ya vikao vya harusi ya Meninah na Diamond uwiiiiiii!!
 
Nimekuja kuchukua kiti changu..........:wacko::wacko::wacko::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:



10177501_1035354596478958_1305300769713234104_n.jpg
 
Ndio hivyoo kila siku magari yanatoka mapyaa hongera yaoo
Yaani wanatumia Nguvu nyingi kuonyesha malimwengu...ulimbukeni wao..mweee Jamani ushamba huu kweli mzigo wa miiba wapi Warumi Jamani.hawa maadmin Kama hawataki watu wachangie si waseme...uoga tu umewajaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom