Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

Status
Not open for further replies.
Matola njoo uone kadi za magarii,hhheee maana watu kwa kubumba si mchezoo, usishangae Lulu anacheti cha form four wakati hata form 3 hajakanyagaaa
 
Last edited by a moderator:
Mpwa ni kadi ya gari gani hiyo Murano au BMW? Maana namba za gari zipo nataka kukata mzizi wa fitina nitaleta jina la mmiliki kesho.

Maana kale Kalulu kadi yake tulioneshwa nusu na postal box ni anuani ya Polisi.

Waionyeshe hiyo kadi tuisomee na iwe original isijekua kama ile nyumba ya milioni 400 ilikua hivi hiviiiii kwiiiii
 
Hivii Muuza Sura hukukaribishwa kwenye birthday? Kwa data za kitaa nakuaminia sema unajifichaga sanaaa
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wema ana maigizo sanaaaaa mi nampa muda tu aiseee kwani kuna tabu basii

Kila mtu ana mapungufu yake,ila kwa mfano watu walipozusha mara merina ana mimba ya Dai,mara Wema kaachwa.Unajua Wema kama unakumbuka enzi za kina Jumbe,yeye mwenyewe alishasema ulikuwa utoto,issue ya Clement pale hakuwa na mapenzi sema alitaka kumrusha roho Dai.Wema sasa kabadilika sana kwa kweli kakua sasa walau anajiheshimu.Note>NONE IS PERFECT
 
Eeee lakini anapenda maigizo na maonyesho mwanzo mwishoo jasiri haachi asili yakee unajuaaa
Tusije shangaa hiyo ni movie yake mpyaaa hamchelewii muda wote mpo location
 
Eeee lakini anapenda maigizo na maonyesho mwanzo mwishoo jasiri haachi asili yakee unajuaaa
That girl kapitia mengi kuliko hata umri wake,ila bado yupo juu,nikikumbuka Penceli alivyomrecord,Penny nilimchukia sana kwa kile kitendo aisee,WEMA IS WEMA,kwa kweli tutafutage na majina mazuri ya kuwapa wanetu.WEMA miaka mabilion MUNGU AMPE MEMA KAMA JINA LAKE,
 
Hata majina ya kina Jack yana bahati si unaon Klyn yupo kwenye mabilioni na hatupigii kelele, mimi hawa klyn na wengine nnaowajua mimi ndio nnawaaminiaa sio wanaotegemea papuchii
 
Hata majina ya kina Jack yana bahati si unaon Klyn yupo kwenye mabilioni na hatupigii kelele, mimi hawa klyn na wengine nnaowajua mimi ndio nnawaaminiaa sio wanaotegemea papuchii
My dear,kwani KLYN nae si papuch ndo iliyomfikisha hapo?nashangaa unamwaminia Klyn wakati na yeye Papuch ndo imemfikisha kuwa kimada wa Machache
 
My dear,kwani KLYN nae si papuch ndo iliyomfikisha hapo?nashangaa unamwaminia Klyn wakati na yeye Papuch ndo imemfikisha kuwa kimada wa Machache

Ni papuchi ndio lakini huwezi fananisha na wema tambara la deki kila mtu anafutia miguu palee ,hata kama ni kimada ana uhakika hapooo na watoto juu yaan hata akiachwa ana uhakika huyu, ,wema mpaka aitulize hiyo k yakee ntamuaminiaa
 
Hata KLYN kapita kwingi sana hadi kuja kunasa kwa machache,Wema sasa katulia tayari kwa kuwa mama wa watoto mwema.
 
Mpwa ni kadi ya gari gani hiyo Murano au BMW? Maana namba za gari zipo nataka kukata mzizi wa fitina nitaleta jina la mmiliki kesho.

Maana kale Kalulu kadi yake tulioneshwa nusu na postal box ni anuani ya Polisi.

Mie nasubiri uilete hiyo kesho na ukisahau nitakukumbusha.... hiyo kadi ya BMW kutoka kwa kaka manager

Hakuna maneno ni vitendo tu..
Team wapashukunaku umeona uko mwenyewe umeanza kumention watu.. utamention kijiji kizima ila habari ya mujini ndio hiyoooo
 
Team kujipendekezaa mpooooo kwiii kwiiiiiii jitahidini hata na nyie muache kupanda daladala hiyo ni movie tu itakuja mpya soon
Inahuuu namention dunia nzima nzimaa hutaki kanye tikitiiii
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…