Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
wanataka kuona jina atii
Tatizo maigizo mengiiii mi bado mpaka mwezi uisheee banaaa kama ni yake kweli itafahamika tu mjini kuna mamboo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanataka kuona jina atii
Tunakesha wengi umu,
Waliokuwa wanasema Menina ana mimba nendeni mkale ndim....vikao vya harusi kiko wapi......
So touching words from Chibu
Mliokuwa mnaulizia kadi...
Sa hivi ni mwendo wa vitendooo
Hahahaa haaaa
Team wema
Mpwa ni kadi ya gari gani hiyo Murano au BMW? Maana namba za gari zipo nataka kukata mzizi wa fitina nitaleta jina la mmiliki kesho.
Maana kale Kalulu kadi yake tulioneshwa nusu na postal box ni anuani ya Polisi.
post hiyo kutoka kwa shem darling..... hata angeandika broken ilimradi ujumbe ufike
Nikiripoti kutoka insta....
Tatizo wema ana maigizo sanaaaaa mi nampa muda tu aiseee kwani kuna tabu basii
Kila mtu ana mapungufu yake,ila kwa mfano watu walipozusha mara merina ana mimba ya Dai,mara Wema kaachwa.Unajua Wema kama unakumbuka enzi za kina Jumbe,yeye mwenyewe alishasema ulikuwa utoto,issue ya Clement pale hakuwa na mapenzi sema alitaka kumrusha roho Dai.Wema sasa kabadilika sana kwa kweli kakua sasa walau anajiheshimu.Note>NONE IS PERFECT
That girl kapitia mengi kuliko hata umri wake,ila bado yupo juu,nikikumbuka Penceli alivyomrecord,Penny nilimchukia sana kwa kile kitendo aisee,WEMA IS WEMA,kwa kweli tutafutage na majina mazuri ya kuwapa wanetu.WEMA miaka mabilion MUNGU AMPE MEMA KAMA JINA LAKE,Eeee lakini anapenda maigizo na maonyesho mwanzo mwishoo jasiri haachi asili yakee unajuaaa
That girl kapitia mengi kuliko hata umri wake,ila bado yupo juu,nikikumbuka Penceli alivyomrecord,Penny nilimchukia sana kwa kile kitendo aisee,WEMA IS WEMA,kwa kweli tutafutage na majina mazuri ya kuwapa wanetu.WEMA miaka mabilion MUNGU AMPE MEMA KAMA JINA LAKE,
My dear,kwani KLYN nae si papuch ndo iliyomfikisha hapo?nashangaa unamwaminia Klyn wakati na yeye Papuch ndo imemfikisha kuwa kimada wa MachacheHata majina ya kina Jack yana bahati si unaon Klyn yupo kwenye mabilioni na hatupigii kelele, mimi hawa klyn na wengine nnaowajua mimi ndio nnawaaminiaa sio wanaotegemea papuchii
My dear,kwani KLYN nae si papuch ndo iliyomfikisha hapo?nashangaa unamwaminia Klyn wakati na yeye Papuch ndo imemfikisha kuwa kimada wa Machache
Hahahaa haaaa
Team wema
Hata KLYN kapita kwingi sana hadi kuja kunasa kwa machache,Wema sasa katulia tayari kwa kuwa mama wa watoto mwema.Ni papuchi ndio lakini huwezi fananisha na wema tambara la deki kila mtu anafutia miguu palee ,hata kama ni kimada ana uhakika hapooo na watoto juu yaan hata akiachwa ana uhakika huyu, ,wema mpaka aitulize hiyo k yakee ntamuaminiaa
Mpwa ni kadi ya gari gani hiyo Murano au BMW? Maana namba za gari zipo nataka kukata mzizi wa fitina nitaleta jina la mmiliki kesho.
Maana kale Kalulu kadi yake tulioneshwa nusu na postal box ni anuani ya Polisi.