DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #41
Eti michepuko 🤣🤣"" Michepuo katika elimu ya Olevel imeongezeka kutoka michepuo 4 hadi Tisa michepuo iliyoongezeka ni .."
Haloo nimeshtuka sana. Nikidhani ni mechepuko
Kosa kubwa kwenye mfumo wetu ni kuwa na shule za kidsto cha 5 na 6 kwa maana ya alevel zinazo jitegemea ndiyo mtu afike chuo ni kama mambo ya jkt kisaikolojia mwanafunzi anao uwezo wa kusoma kwa bidii zaidi kama akijua kuwa miaka minne ya secondary ndiyo itakayo mpeleka chuo kuliko kuwaza kuwa hata akisoma kwa bidii inabidi aendelee na secondary nyingine.kisha afanye tena mitihani ndiyo kufika chuoKwa dunia ya sasa hivi mkuu Curriculum hii ya mfumo kama wa Kenya imepitwa na wakati ndo maana hata kenya nao wameanza kupractise CBC n wao wameanza Mwezi w pili mwkaa huu japo sisi tutaanza miaka ijayo..
CBC (Competent Based Curriculum) inamfanya Mtu akimaliza Form four anakuwa na ujuzi wa kitu fulani na sio curriculum iliyopo sasa hivi form four hana ujuzi wowote
Mfumo wa kenya i think na wenyew mwaka huu wamechange na wamehamia CBCKosa kubwa kwenye mfumo wetu ni kuwa na shule za kidsto cha 5 na 6 kwa maana ya alevel zinazo jitegemea ndiyo mtu afike chuo ni kama mambo ya jkt kisaikolojia mwanafunzi anao uwezo wa kusoma kwa bidii zaidi kama akijua kuwa miaka minne ya secondary ndiyo itakayo mpeleka chuo kuliko kuwaza kuwa hata akisoma kwa bidii inabidi aendelee na secondary nyingine.kisha afanye tena mitihani ndiyo kufika chuo
.mfumo wa kenya hauna tatizo lolote ni mzuri sana kuliko wa kwetu tatizo ni nini kinafundishwa na kwa ufasaha kiasi gani
Watanzania tunachanganya au tunashindwa kujua tofauti ya maadili na uadilifu somo lilitakiwa kuwa la uadilifu siyo maadili hapa kwenye maadili ndipo tatizo la kupenyezwa dini mashuleni linapo kuja ambacho siyo kitu chema...mwisho tunazalisha kizazi cha wanafiki ... makahaba wavaa hijabu na wachamungu malaya.....SOMO.LA UHADILIFU NDIYO LINATAKIWA KUFUNDISHA MASHULENI SIYO SOMO LA MAADILILipo mkuu kwenye Hilo somo jipya la Historia ya Tanzania na Maadili. Humo kuna katika
Safi sanaWatanzania tunachanganya au tunashindwa kujua tofauti ya maadili na uadilifu somo lilitakiwa kuwa la uadilifu siyo maadili hapa kwenye maadili ndipo tatizo la kupenyezwa dini mashuleni linapo kuja amvalo siyo kitu chema mwisho tunazalisha kizazi cha wanafiki ... makahaba wavaa hijabu na wachamungu malaya.....SOMO.LA UHADILIFU NDIYO LINATAKIWA KUFUNDISHA MASHULENI SIYO SOMO LA MAADILI
Hapa nafikili kidogo kunakaukakasi kusoma ualimu lazima uwe umepita form 6 Kuna pass mark zitakudondosha diploma na pia Kuna pass mark zitakumwaga degree na pia diploma ya elimu itakuwa ni miaka 2 watasoma teaching methodology tu na degree ya elimu ni miaka 3 kama kawaida kwa mujibu wa rasimu ya mtaala mpya jinsi nikivyoipitiaga kitambo sijajua kama Kuna mambo yamebadilikaHapo kwenye shahada ya elimu; nadhani wafanye review na kulinganisha na mitaala ya kimataifa. Muda huo (wa miaka miwili) ni mdogo ukilinganisha na "units" wanazotakiwa kucover kabla hawajahitimu. Kama wangetunukiwa "higher diploma", huenda ingewezekana kucover ndani ya miaka miwili, lakini kwa kiwango cha shahada, inabidi wasome angalau miaka mitatu hata kama wametokea kidato cha sita. Vinginevyo, shahada hiyo (ya miaka miwili) haitakuwa recognized mahala pengine (kimataifa), kwani itaonekana shallow (less units).
Kama ukitazama leo imefikia hatua mwalimu kukagua nywele za wanafunzi wa kike imekua ni kosa kisa hijabu kuingizwa mashuleni ....watakuambia mwanafunzi kuvaa hijabu ni maadili kumbe ni miemko ya itikadi za kidini na maadili ya kidini yanapenyezwa taratibu kwenye serikaliSafi sana
Mkuu mitaala itabadilika yote kuanzia msingi mpka Elimu ya juu...Hapa nafikili kidogo kunakaukakasi kusoma ualimu lazima uwe umepita form 6 Kuna pass mark zitakudodisha diploma na pia Kuna pass mark zitakumwaga degree na pia diploma ya elimu utakuwa ni miaka 2 watasoma teaching methodology tu na degree ya elimu ni miaka 3 kama kawaida kwa mujibu wa rasimi ya mtaala mpya jinsi nikivyoipitiaga kitambo sijajua kama Kuna mambo yamebadilika
Nimekusoma mkuu hoja yangu ni kwamba niliona kwenye hile rasimu ikisema degree ya ualimu ni miaka 3 na si 2 Bali miaka 2 ni kwa ngazi ya diploma ya elimuMkuu mitaala itabadilika yote kuanzia msingi mpka Elimu ya juu...
Na kuhusu Kusoma degree miaka Miwili nafikiri kuna masomo watayaweka Form six ambayo yataweza kumuandaa Mtu aweze kuwa na uwezo wa kuemdelea na Bachelor nafikir ndo maana wametaka lazma awe form six
Hayana maana kwa kweli maana katika kipindi ambacho ndio kijana anataka kwenda kusomea ujuzi ili ajiajiri au kuajiriwa serikali inashindwa kutoa ufadhiri na kubaki na hadithi na mapambio ya kusifianaHayo maboresho yana maana gani ikiwa vijana wananyimwa ufadhili kwenda vyuo vikuu.
shukrani sana 🔥💪HAYA NDO MABORESHO YA MTAALA WA ELIMU YANAYOENDA KUFANYIKA TANZANIA KATIKA JITIHADA ZA KUBORESHA ELIMUHabari za mchana WanaJF
Katika kuboresha elimu, Hivi karibuni serikali ilitangaza mabadiliko ya Kisera Na marekebisho ya Mitaala na baadhi ya uu..
Kwani umesahau kuwa waafrica hatujui nini tunataka ...hivyo kila siku ni kutanga tanga tu na sera za kujikanyaga kanyaga kila siku for nothingMfumo wa kenya i think na wenyew mwaka huu wamechange na wamehamia CBC
Nimekusoma mkuu hoja yangu ni kwamba niliona kwenye hile rasimu ikisema degree ya ualimu ni miaka 3 na si 2 Bali miaka 2 ni kwa ngazi ya diploma ya elimu
No nimeweka mfano ila Rasimu yenyewe hii hapa unaweza ukapitia mkuuChakushangaza kweli katika vitu vyote vya kufundisha kufuga wameona nyuki ndo Sahihi kwel?
Asante mleta mada. Sina hakika na mitaala itakavyotengenezwa, ama ilivyo kama tayari imetengenezwa lakini nadhani suala la kumfundisha mtoto namna ya kujifunza kitu mwenyewe lilitakiwa kutiliwa mkazo Toka ngazi za awali!Kwakweli hapo sijajua Tusubiri mpaka Implementation ya Hiyo Sera na Sheria zake zianze kufanya kazi ..
Ila ili uwe katika sehemu salama bado una muda omba kwenda kusoma ukajipigie jiwe lako ukirudi 2027 sera inakukuta na Jiwe lako.