Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna gari kuzipata Japan ni ngumu.Mf Sorento. Kwani za Singapore zina shida ganiAchana na Gari za Singapore Tajiri usipagawe na zile after markert modification,agiza Japan utanishukuru.
Hana gari huyo !Kwa sasa una gari gani?
Wewe ni mdada?Yan me nikiiona Nissan Dualis moyo wangu unaenda mbio mbio
Kwa hiyo angeweka Toyota ist?Nissan [emoji777]
Nissan [emoji777]
Nissan [emoji777]
Nissan [emoji777]
Hamna boss ni kipato tu kuna muda na mapenzi binafsi,Maana nishawahi kumuona Mzee fulani anakichafua na Altezza Gita balaa.Hivi kuna uhusiano wowote uliopo kati ya age ya mtu na kupenda aina fulani hivi ya gari??????
Wadau wengi huwa wanalalamika Gear box,Engine kuna muda zinakuja mbovu kutokana na jamaa wako rough sana yaani wahuni sana wanafanyia Drift gari ambazo hata hazihitaji hiyo michezo,Ila wakitaka kuuza wanaifanyia Interior kali sana na Exterior wanavesha rim zimenyooka na ikipigwa polish lazima ujae ila chache sana zakulenga ambazo utakuta hazina changamoto.Kuna gari kuzipata Japan ni ngumu.Mf Sorento. Kwani za Singapore zina shida gani
Nimekuelewa mkuu..Hamna boss ni kipato tu kuna muda na mapenzi binafsi,Maana nishawahi kumuona Mzee fulani anakichafua na Altezza Gita balaa.
Hivi kuna uhusiano wowote uliopo kati ya age ya mtu na kupenda aina fulani hivi ya gari??????
mkuu unasubiri elimu kutoka kwa maskini aliejikatia tamaa?
iko hivi ukiona mtu anakuambia gari fulani inazingua jua yeye mfuko wake ndio unazingua wabongo tunaunga unga sana mambo nissan hazihitaji ubahili na kikizingua kitu toa funga kipya asikutishe mtu hakuna gari mbaya wala inayozungua kama inafanyiwa sevisi vizuri kingine kinachotuangusha ni mafundi nao hawaendi na wakati hawajifunzi mambo mapya kwahyo kuna changamoto kwao kutojua namna ya kurekebisha gari za kisasa
HakikaNissan [emoji777]
Nissan [emoji777]
Nissan [emoji777]
Nissan [emoji777]
Nimekupata vyema kabisa mkuu..Ndio mkuu uhusiano upo ila ni wachache wanao utimiza
Ila uhusiano bora kabisa ni ule wa kumiliki gari kulingana na kipato chako
Watu hatumiliki Paso au virtz kwasababu ndio gari tunazo zipenda sana..... Bali ni gari tunazozi afford
Mbwa wewe OKW BOBAN SUNZUARV zimepanda kichwani
Asante sana kwa tahadharikuwa makini sana na chuma za kutoka Singapore mkuu, kule nahisi kuna wahuni wengi kama wa hapa bongo tu... niliwahi agiza chuma huko hakuna rangi niliacha kuona. ilikuwa subaru forester
umaskini ni laana mkuu huwezi kuwa na pesa ukasema hakuna spea au fundi na kingine ukiwa na pesa utanunua gari nzuri kuanzia nje hadi ndani kawaida gari nzima mpaka uiharibu basi umeburuza sana ila wacha kila mtu awaze anavyowaza ila uoga wa kununua aina fulani ya gari kwangu naona ni kifeli na umaskini tuMkuu “ubaya” wa gari kibongo bongo huwa tuna maanisha “disadvantages”
Huwa haimaanishi kwamba ni magari yasio kuwa na ubora nk
Changamoto kubwa ya kumiliki gari huwa sio bei ya kununulia gari bali ni daily running cost ya gari
Upatikanaji wa spea na wataalamu wa kuyarekebisha..... hapa ndio kuna changamoto kibongo bongo
Utakuta wauza spea za magari “mabaya” sijui ni kwasababu spea hazitoki sababu ya uchache au makusudi tu, bei inakua mkasi sana au wakati mwingine hadi ziagizwe nnje
Unaweza kupaki gari miezi unasubiri spea kitu ambacho hakipo kwenye magari tunayo yaita “mazuri” kama Toyota
Mafundi wengi ni magumashi hawana ujuzi na wana bei za kishenzi sana, utasikia “hii Mazda mzee sio sawa Toyota”
Watu wengi tunakwenda na Toyota kwasababu ya spea na mafundi wapo kila kona kwa sababu ya wingi wake
Niliwahi kumiliki haya magari yanayoitwa “mabaya” nikiwa mkoani, hakuna rangi niliacha kuiona hadi nikalichukia kabisa gari langu
Na mwisho kabisa siku ukiamua kuliuza aisee bei utakazo tajiwa utaona bora likae tu ndani lioze tofauti na utakavyo taka kuuza ist yako au Rav4 yako
Ila kwa uzuri ubora na comfortability yako vizuri mmno ukiondoa hiyo disadvantage(ubaya) wa upatikanaji wa spea na mafundi magumashi
umaskini ni laana mkuu huwezi kuwa na pesa ukasema hakuna spea au fundi na kingine ukiwa na pesa utanunua gari nzuri kuanzia nje hadi ndani kawaida gari nzima mpaka uiharibu basi umeburuza sana ila wacha kila mtu awaze anavyowaza ila uoga wa kununua aina fulani ya gari kwangu naona ni kifeli na umaskini tu