Haya ndio magari chaguo langu

Haya ndio magari chaguo langu

Mimi hii Suzuki Jimny huwa inaninyima amani kabisa. Ila nitaishika tu
 
Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    24.1 KB · Views: 13
  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    31 KB · Views: 11
  • images (9).jpeg
    images (9).jpeg
    48.7 KB · Views: 10
Kuna gari kuzipata Japan ni ngumu.Mf Sorento. Kwani za Singapore zina shida gani
Wadau wengi huwa wanalalamika Gear box,Engine kuna muda zinakuja mbovu kutokana na jamaa wako rough sana yaani wahuni sana wanafanyia Drift gari ambazo hata hazihitaji hiyo michezo,Ila wakitaka kuuza wanaifanyia Interior kali sana na Exterior wanavesha rim zimenyooka na ikipigwa polish lazima ujae ila chache sana zakulenga ambazo utakuta hazina changamoto.

Pitia kwa jamaa (Automax) yuko Insta alishawahi kuzungumzia kwa gari alizowahi kuletewa na wateja za kutoka Singapore japo pia review za watu wengi zinaangukia katika maono hayo na yasemwayo yapo so far jaribu Bahati yako.
 
Hivi kuna uhusiano wowote uliopo kati ya age ya mtu na kupenda aina fulani hivi ya gari??????

Ndio mkuu uhusiano upo ila ni wachache wanao utimiza

Ila uhusiano bora kabisa ni ule wa kumiliki gari kulingana na kipato chako

Watu hatumiliki Paso au virtz kwasababu ndio gari tunazo zipenda sana..... Bali ni gari tunazozi afford
 
mkuu unasubiri elimu kutoka kwa maskini aliejikatia tamaa?

iko hivi ukiona mtu anakuambia gari fulani inazingua jua yeye mfuko wake ndio unazingua wabongo tunaunga unga sana mambo nissan hazihitaji ubahili na kikizingua kitu toa funga kipya asikutishe mtu hakuna gari mbaya wala inayozungua kama inafanyiwa sevisi vizuri kingine kinachotuangusha ni mafundi nao hawaendi na wakati hawajifunzi mambo mapya kwahyo kuna changamoto kwao kutojua namna ya kurekebisha gari za kisasa

Mkuu “ubaya” wa gari kibongo bongo huwa tuna maanisha “disadvantages”
Huwa haimaanishi kwamba ni magari yasio kuwa na ubora nk

Changamoto kubwa ya kumiliki gari huwa sio bei ya kununulia gari bali ni daily running cost ya gari
Upatikanaji wa spea na wataalamu wa kuyarekebisha..... hapa ndio kuna changamoto kibongo bongo

Utakuta wauza spea za magari “mabaya” sijui ni kwasababu spea hazitoki sababu ya uchache au makusudi tu, bei inakua mkasi sana au wakati mwingine hadi ziagizwe nnje
Unaweza kupaki gari miezi unasubiri spea kitu ambacho hakipo kwenye magari tunayo yaita “mazuri” kama Toyota

Mafundi wengi ni magumashi hawana ujuzi na wana bei za kishenzi sana, utasikia “hii Mazda mzee sio sawa Toyota”

Watu wengi tunakwenda na Toyota kwasababu ya spea na mafundi wapo kila kona kwa sababu ya wingi wake

Niliwahi kumiliki haya magari yanayoitwa “mabaya” nikiwa mkoani, hakuna rangi niliacha kuiona hadi nikalichukia kabisa gari langu

Na mwisho kabisa siku ukiamua kuliuza aisee bei utakazo tajiwa utaona bora likae tu ndani lioze tofauti na utakavyo taka kuuza ist yako au Rav4 yako

Ila kwa uzuri ubora na comfortability yako vizuri mmno ukiondoa hiyo disadvantage(ubaya) wa upatikanaji wa spea na mafundi magumashi
 
Ndio mkuu uhusiano upo ila ni wachache wanao utimiza

Ila uhusiano bora kabisa ni ule wa kumiliki gari kulingana na kipato chako

Watu hatumiliki Paso au virtz kwasababu ndio gari tunazo zipenda sana..... Bali ni gari tunazozi afford
Nimekupata vyema kabisa mkuu..
 
kuwa makini sana na chuma za kutoka Singapore mkuu, kule nahisi kuna wahuni wengi kama wa hapa bongo tu... niliwahi agiza chuma huko hakuna rangi niliacha kuona. ilikuwa subaru forester
Asante sana kwa tahadhari
 
Mkuu “ubaya” wa gari kibongo bongo huwa tuna maanisha “disadvantages”
Huwa haimaanishi kwamba ni magari yasio kuwa na ubora nk

Changamoto kubwa ya kumiliki gari huwa sio bei ya kununulia gari bali ni daily running cost ya gari
Upatikanaji wa spea na wataalamu wa kuyarekebisha..... hapa ndio kuna changamoto kibongo bongo

Utakuta wauza spea za magari “mabaya” sijui ni kwasababu spea hazitoki sababu ya uchache au makusudi tu, bei inakua mkasi sana au wakati mwingine hadi ziagizwe nnje
Unaweza kupaki gari miezi unasubiri spea kitu ambacho hakipo kwenye magari tunayo yaita “mazuri” kama Toyota

Mafundi wengi ni magumashi hawana ujuzi na wana bei za kishenzi sana, utasikia “hii Mazda mzee sio sawa Toyota”

Watu wengi tunakwenda na Toyota kwasababu ya spea na mafundi wapo kila kona kwa sababu ya wingi wake

Niliwahi kumiliki haya magari yanayoitwa “mabaya” nikiwa mkoani, hakuna rangi niliacha kuiona hadi nikalichukia kabisa gari langu

Na mwisho kabisa siku ukiamua kuliuza aisee bei utakazo tajiwa utaona bora likae tu ndani lioze tofauti na utakavyo taka kuuza ist yako au Rav4 yako

Ila kwa uzuri ubora na comfortability yako vizuri mmno ukiondoa hiyo disadvantage(ubaya) wa upatikanaji wa spea na mafundi magumashi
umaskini ni laana mkuu huwezi kuwa na pesa ukasema hakuna spea au fundi na kingine ukiwa na pesa utanunua gari nzuri kuanzia nje hadi ndani kawaida gari nzima mpaka uiharibu basi umeburuza sana ila wacha kila mtu awaze anavyowaza ila uoga wa kununua aina fulani ya gari kwangu naona ni kifeli na umaskini tu
 
Hii mada ni pana kuliko unavyofikiria. Hata kama una hela inabidi ununue gari ambayo utakuwa na mahali pa kufanya service (hata kama haijaharibika) na inayoweza kuendana na matumizi yako.
Lakini pia si kila mtu ana pesa, hivyo watu wanavyoshaurinau kuomba ushauri kuhusu magari fulani na kulinganishwa na magari fulani, lazima aambiwe mapungufu na mazuri ya hizo gari. Hakuna sababu ya kutetea mapungufu ya gari fulani kwa kigezo cha umaskini.
Kama gari ina poor fuel consumption mtu ataambiwa na ataamua kama ananunua au la, kama air suspension au gearbox ni weak kwenye hayi magari aaambiwe pia
 
Back
Top Bottom