Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Hahaha hapo no 7 kweli isiyopingika mkuu Yaani tunavoongea nipo practically 🀣
 
Wasukuma wamegawanyika, wanaozungumziwa hapa ni wale wa Ntuzu 😁😁😁wale wanakamua maziwa na kulima na Ng'ombe. Vina tabia ya kutusi Baba mkwe au mama mkwe (Yaani mzazi wa mume wake)

Wasukuma wa Mwanza, Shinyanga, na Geita Hawana Shida
 
Wanyakyusa nambari wani.

HAWAFAI KABISA.
 
Wahaya,wanyakyusa,hata wanaume wanajiona kujua kila mola alichoumba duniani plus kiburiiiiii,dharau mpk mabosi zao na usisi(wanapendana kikabila sna)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…