PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Endelea tu mkuudaah kuna jamaa yangu alipita na msukuma yule dada ana mtaco na nusu ila sasa daah embu niishie apa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea tu mkuudaah kuna jamaa yangu alipita na msukuma yule dada ana mtaco na nusu ila sasa daah embu niishie apa
DIzaini kama sikuhizi Wahaya hawana viburi, Dharau na sio Wajuaji sanaJirani zangu wahaya walipaswa kuwa namba moja hapo
Asee wazaramo ni viburi utaua bure, kinaona una miraba na mishipa ila kinasimama na ufupi wake, wale watu ni ViburiUnawajua wazaramo vizuri?
Wasukuma wamegawanyika, wanaozungumziwa hapa ni wale wa Ntuzu
Kuna wanaochinja hadi ng'ombeMwanaume mwenzangu okopa sana kabila ambalo mwanamke anaruhusiwa kuchinja kuku. Na yeyw mwenyewe wala haogopi.
Wachaga na wameru
Wanyakyusa nambari wani.Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
😁😁😁8.mzaramo namtawala japo ana mdomo sana
Wahaya,wanyakyusa,hata wanaume wanajiona kujua kila mola alichoumba duniani plus kiburiiiiii,dharau mpk mabosi zao na usisi(wanapendana kikabila sna)Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Daah ila media za bongo kwa title mtatuua 😁😁😁😂😂😂😂Hawa dawa kuwamaliza tu ,wakikutana wenyewe mambo yanakuwa hivi.
View attachment 2846878
Tena kama hawa wahaya wa kiziba(WAZIBA)ndo brekiWahaya,wanyakyusa,hata wanaume wanajiona kujua kila mola alichoumba duniani plus kiburiiiiii,dharau mpk mabosi zao na usisi(wanapendana kikabila sna)
Hakika, hapa ni wale NTUZUWasukuma hapana, wana heshima na uvumilivu
Hasa NTUZUUsimtoe msukuma, mwanamke wa kisukuma ana dharau sana.
NTUZU Ntuzu 😂😂😁😁😁Unawajua Wanyantuzu wewe?
sikujua kumbe mmeru anasubiri kwa mnyakiWasukuma ni kama umewaonea Ivi
Mimi list yangu ingekuwa ivi
1. Wanyaki Mbeya
2.Wajita Musoma
3.Wameru Arusha