Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaaKuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Jamaa unachambua kama Yangawasukuma ondoa. wachaga, wapare kwa ubishi labda kwasababu ni wafupi, wameru kwa ukatili na ubishi labda kwasababu wamekeketwa, wajaluo ondoa,wahaya ondoa wao ni umalaya tu, wanyakusa ni sahihi. ila sijaona wahehe.
Ila huwajui wamachame wewe..ni wana maushepu sema ndo hivyo roho mbayaWachaga wana obesity sio makalio/shape ukweli mchungu huu
Jirani zangu wameru hapo wangekua wa kwanza tu mkuu [emoji1]...Mimi n mmoja kati ya makabila tajwa hapo juu hii list iko sawa kabisa . Ila wameru wamezidi jamaniKuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Wanyakyusa wa Tanzania hii [emoji23][emoji23][emoji23]Wanyakyusa mbona tuna adabu sisi
Wewe ni yupi katika hao?
Wanawake wa Kipogoro wanaongea jamani...
Hakuna mwanamke kiburi mbele ya PESA
Tutafute hela hakuna namna
Kabisa, wanawake wa kisukuma wanyenyekevu sana hawapaswi kuwekwa kwenye hii orodha.
Una maana gani?
Kwamba wanaume wenye Hela hawasumbuliwi na wanawake wakorofi au ?
Ingekuwa ni hivyo hata kina bill gate wasiachana na wake zao, kina Dangote etc.
Jamaa muongo muongo sana.wasukuma ondoa. wachaga, wapare kwa ubishi labda kwasababu ni wafupi, wameru kwa ukatili na ubishi labda kwasababu wamekeketwa, wajaluo ondoa,wahaya ondoa wao ni umalaya tu, wanyakusa ni sahihi. ila sijaona wahehe.