Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Hahaaaa
 
wasukuma ondoa. wachaga, wapare kwa ubishi labda kwasababu ni wafupi, wameru kwa ukatili na ubishi labda kwasababu wamekeketwa, wajaluo ondoa,wahaya ondoa wao ni umalaya tu, wanyakusa ni sahihi. ila sijaona wahehe.
Jamaa unachambua kama Yanga
 
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Jirani zangu wameru hapo wangekua wa kwanza tu mkuu [emoji1]...Mimi n mmoja kati ya makabila tajwa hapo juu hii list iko sawa kabisa . Ila wameru wamezidi jamani
 
Hv wachaga wana nini Qmmke yani yule mbuzi utadhani alikuwaga muhasi wa hamam kule Palestine alafu akarudishwa bongo ni kiburi balaaaa

Ila mwacheeee aende zake angenisababishia muda nipo segerea

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kabisa, wanawake wa kisukuma wanyenyekevu sana hawapaswi kuwekwa kwenye hii orodha.

Wana ukorofi pia.
Usione vile wakiongea midomo ikiwa mizito waulize wenye uzoefu nao watakwambia!

Sema wanaume wa kisukuma ni wababe wanawajulia kuwamudu wanawake zao wa kisukuma na kwa kuzingatia miła na desturi.
 
Una maana gani?

Kwamba wanaume wenye Hela hawasumbuliwi na wanawake wakorofi au ?

Ingekuwa ni hivyo hata kina bill gate wasiachana na wake zao, kina Dangote etc.

Mkuu andiko langu lilikua na muktadha wa kuongeza hari wanaume tusake hela kwasababu ni rahisi zaidi mwanamke kuwa kiburi ikiwa huna hela kuliko ukiwa nazo

Nikama vile hata uwe na mapesa kama Dangote au Alon musk bado utakua na MATATIZO na SHIDA
Ila shida za Dangote sio sawa na za Mayu wa madongo kuinama
 
wasukuma ondoa. wachaga, wapare kwa ubishi labda kwasababu ni wafupi, wameru kwa ukatili na ubishi labda kwasababu wamekeketwa, wajaluo ondoa,wahaya ondoa wao ni umalaya tu, wanyakusa ni sahihi. ila sijaona wahehe.
Jamaa muongo muongo sana.
 
Back
Top Bottom