Huyu si mnyiha ni mmalilaKumbe ndio maana Lucas Mwashambwa ana kuburi ubongoni mwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu si mnyiha ni mmalilaKumbe ndio maana Lucas Mwashambwa ana kuburi ubongoni mwake.
Mmalila au Mnyiha?Huyu si mnyiha ni mmalila
Halafu kuna Mwanaume anakuja kula Kuku aliyechinjwa na Mwanamke? Aisee..lazima huyo Mwanaume umshikie akili.Tunamchinja na kumla kuku kama hatumjui🤣🤣
Naunga mkono hoja yako..Umetaja makabila makubwa tu, zipo sababu zinafanya makabila hayo yawe hivyo.
Tafiti yako ingekua halali ungetaja makabila madogo pia, yapo makabila si makubwa hivyo sifa zake si rahisi kufahamika so ungeyataja ningejua umefanya kweli utafiti
Hawa haujakosea upo sahihi asilimia zoteWajaluo
Orodha yako ya wanawake viburi haujaipanga vizuri. Nadhani ilipaswa iwe hivi
1. Wahaya
2. Wachaga
3. Wanyakyusa
4. Wajita
5. Wakurya
6. Warangi
7. Wasukuma
8. Wajaluo
9. Wazaramo
10. Wameru (mabinti wa arusha, chugastan)
Hayo makabila acha waowane wenyewe. Wanawezana wenyewe. Wewe kama mwanaume Usibabaishwe na uzuri, rangi, tako KUBWA, shepu, mahipsi, msambwanda au K tamu ya moto. Labda kama unataka kula na kusepa (take away) ila Ukiingia kwenye mahusiano serious ya ndoa na makabila hayo na hauna roho ngumu, LAZIMA utanyoosha MIKONO YAKO MIWILI JUU NA KUKIRI KWA KINYWA CHAKO KUWA UMESHINDWA.
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Mmh jeuri tena hao watu nilijua ni watu wa amani 🤣Hansii, mpozile? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanyiha majeuri hayachelewi kukudunda
Wasukuma ni wastaarabu
Mimi nina mmeru ulichosema ni kweli kwenye issue ya kiburi ila kuna vingi anavyo vinavyomfanya nivumilie kiburiOrodha yako ya wanawake viburi haujaipanga vizuri. Nadhani ilipaswa iwe hivi
1. Wahaya
2. Wachaga
3. Wanyakyusa
4. Wajita
5. Wakurya
6. Warangi
7. Wasukuma
8. Wajaluo
9. Wazaramo
10. Wameru (mabinti wa arusha, chugastan)
Hayo makabila acha waowane wenyewe. Wanawezana wenyewe. Wewe kama mwanaume Usibabaishwe na uzuri, rangi, tako KUBWA, shepu, mahipsi, msambwanda au K tamu ya moto. Labda kama unataka kula na kusepa (take away) ila Ukiingia kwenye mahusiano serious ya ndoa na makabila hayo na hauna roho ngumu, LAZIMA utanyoosha MIKONO YAKO MIWILI JUU NA KUKIRI KWA KINYWA CHAKO KUWA UMESHINDWA.
Wanyiha wana nidhamu ya uongo ila ni majeuri!! Halafu wana maudhi km kaka Luka anavyoboa kule jukwaa la siasa 😂😂😂Mmh jeuri tena hao watu nilijua ni watu wa amani 🤣
hahahahah yule shenzi sitaki hata kumuona. Kumbe majeuri hawa basi nimegairiWanyiha wana nidhamu ya uongo ila ni majeuri!! Halafu wana maudhi km kaka Luka anavyoboa kule jukwaa la siasa 😂😂😂
Anakula bao tu akijifanya lopolopoWanaume au wanawake?
Hao wanaume wenyewe mwanamke ukitaka kuwapanda kichwani sio rahisi kama mtu mwingine unavyoweza kuzani.
Labda akioa mkabila baki na inategemea.
Mwanamke usipokuwa na hekima wanakubutua hata kama kimsingi hapo awali wawezakuona Pengine yeye ndio alianza kukosea,
Approach matters a lot.
Sasa si una mke wewe?!! Unataka kupita na mnyiha tena? 🤣🤣🤣hahahahah yule shenzi sitaki hata kumuona. Kumbe majeuri hawa basi nimegairi