Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Tunamchinja na kumla kuku kama hatumjui🤣🤣
Halafu kuna Mwanaume anakuja kula Kuku aliyechinjwa na Mwanamke? Aisee..lazima huyo Mwanaume umshikie akili.
 
Umetaja makabila makubwa tu, zipo sababu zinafanya makabila hayo yawe hivyo.

Tafiti yako ingekua halali ungetaja makabila madogo pia, yapo makabila si makubwa hivyo sifa zake si rahisi kufahamika so ungeyataja ningejua umefanya kweli utafiti
Naunga mkono hoja yako..
Mfano mzuri ni Wanawake wa Wakimakua hao ni pasua kichwa wanapaswa kuongezewa hapo kwenye orodha.
 
Orodha yako ya wanawake viburi haujaipanga vizuri. Nadhani ilipaswa iwe hivi
1. Wahaya
2. Wachaga
3. Wanyakyusa
4. Wajita
5. Wakurya
6. Warangi
7. Wasukuma
8. Wajaluo
9. Wazaramo
10. Wameru (mabinti wa arusha, chugastan)

Hayo makabila acha waowane wenyewe. Wanawezana wenyewe. Wewe kama mwanaume Usibabaishwe na uzuri, rangi, tako KUBWA, shepu, mahipsi, msambwanda au K tamu ya moto. Labda kama unataka kula na kusepa (take away) ila Ukiingia kwenye mahusiano serious ya ndoa na makabila hayo na hauna roho ngumu, LAZIMA utanyoosha MIKONO YAKO MIWILI JUU NA KUKIRI KWA KINYWA CHAKO KUWA UMESHINDWA.
 
Kwamba kupata ugonjwa wa kisukari na presha itakuwa haipukekiki?! [emoji3][emoji28]

Lisemwalo !

Asomae na afahamu.

Ila umesahu Wapare na Wapogoro.

Hao wanafaa kuona wenyewe kwa wenyewe maana wanajuana na kufanana Kitabia.
 
Kote upo sahihi ila hio namba 6 iondoe hapo.
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
 
Wasukuma ni wastaarabu

Wanaume au wanawake?

Hao wanaume wenyewe mwanamke ukitaka kuwapanda kichwani sio rahisi kama mtu mwingine unavyoweza kuzani.

Labda akioa mkabila baki na inategemea.

Mwanamke usipokuwa na hekima wanakubutua hata kama kimsingi hapo awali wawezakuona Pengine yeye ndio alianza kukosea,

Approach matters a lot.
 
Mwenyezi Mungu ndiye mfinyanzi wetu, ndiye aliyetupatia kanuni za kuishi na kufanikiwa au kutofanikiwa.

Mke umeagizwa kumtii mumeo ili ufanikiwe kwenye ndoa na maisha kwa ujumla, Sasa ukileta ubishi, ujeuri, mashindano, makelele, kiburi, ukiambiwa na mumeo nyamaza wewe unaendelea kumpigia makelele unategemea ni nini kwa mfano?
 
Orodha yako ya wanawake viburi haujaipanga vizuri. Nadhani ilipaswa iwe hivi
1. Wahaya
2. Wachaga
3. Wanyakyusa
4. Wajita
5. Wakurya
6. Warangi
7. Wasukuma
8. Wajaluo
9. Wazaramo
10. Wameru (mabinti wa arusha, chugastan)

Hayo makabila acha waowane wenyewe. Wanawezana wenyewe. Wewe kama mwanaume Usibabaishwe na uzuri, rangi, tako KUBWA, shepu, mahipsi, msambwanda au K tamu ya moto. Labda kama unataka kula na kusepa (take away) ila Ukiingia kwenye mahusiano serious ya ndoa na makabila hayo na hauna roho ngumu, LAZIMA utanyoosha MIKONO YAKO MIWILI JUU NA KUKIRI KWA KINYWA CHAKO KUWA UMESHINDWA.
Mimi nina mmeru ulichosema ni kweli kwenye issue ya kiburi ila kuna vingi anavyo vinavyomfanya nivumilie kiburi
 
Wanaume au wanawake?

Hao wanaume wenyewe mwanamke ukitaka kuwapanda kichwani sio rahisi kama mtu mwingine unavyoweza kuzani.

Labda akioa mkabila baki na inategemea.

Mwanamke usipokuwa na hekima wanakubutua hata kama kimsingi hapo awali wawezakuona Pengine yeye ndio alianza kukosea,

Approach matters a lot.
Anakula bao tu akijifanya lopolopo
 
Back
Top Bottom