Haya ndio makadirio ya gharama (ukitumia rate za kiserikali) kusafirisha wasanii 40 Korea

Pesa ndogo sana hiyo kwa Sirikali....
 
Pesa ndogo sana hiyo kwa Siri-kali
Serikali ni Nani?
Serikali ni taasisi au chombo kinachotawala na kusimamia mambo ya nchi au eneo fulani. Inahusika na kutunga sheria, kutekeleza sera, na kudumisha utaratibu na usalama wa umma. Serikali inaweza kuwa ya kitaifa, ya jimbo, au ya mtaa na inaongozwa na viongozi waliochaguliwa au walioteuliwa, kama vile rais, waziri mkuu, mawaziri, wabunge, na maafisa wengine wa serikali.
kali....
 
Wenzio wanashangilia chama na aziz ki yanga wew unawaambia finance bill

Ningumu Sana hii nchi Maskini bado
 
kali kweli..
 
Uzi wako ni wakichochezi,kama kila wizara Ina bajeti na funguo lake la fedha,unashangaa nini wizara inayohusika na Sanaa kama imetumua sh640milioni kusafirisha Wasanii Korea? Kama wizara zingine zinaweza kupeleka wataalamu wake nje iweje unashtushwa na wizara ya Sanaa na michezo kupeleka Wasanii nje? Au una vinasaba vya wivu? Mimi naona una roho ya kwanini halafu hupendi maendeleo ya wengine.
 
Halafu badala ya mtu aliyefanya haya kufukuzwa kazi, anahamishwa na kupewa cheo kingine mahali. Tutafikia maendeleo tukiwa hoi sana.

Vv
 
T Teheeeeeeee kwaiyo kituo Cha afya kimoja kimetafunwa katika Hali ya masiala
 
Wametumia fedha za umma huu kwa kweli ni ubadhirifu na matumizi ya hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…