Haya ndio Mapinduzi ya Zanzibar, yamerikodiwa live na waitaliano 1964

Mkuu nakusoma kwa miwani ya 3D ha ha haa waereze waerewe.
ahsanta.
Cc Ritz
 
Hata mimi nimemuona jf raha kila kitu hadharani napata ilm kutoka kwa Al akh Gombesugu:clap2::clap2::clap2: najua Yericko itamuuma !
 
Ritz huyu jamaa asikusumbue ana ugonjwa wa yule mjinga mwenzake Yericko unaitwa "amnesia" hasa kipindi hiki cha baridi ndio unawasumbua sana!

Mkuu wangu Boko haram, nimeishamwambia sioongei na mbwa naongea na mwenywe mbwa, mabwana zake hawapo kabakia huyo Yericko tu, Nguruvi3, Mag3, wameishamtosa, kama anayaweza aingie... analeta dharau eti uzi wetu umefungwa sababu yake yeye eti alihoji atukujiaandaa, teh teh, sisi kila siku uzi zetu zinafungwa tu wala kwetu siyo tatizo, kuandika uzi humu kunaitaji maandalizi gani uzi zimejaa kila kona, uzi zetu huwa ni hatari zinafunkika uzi zingine mpaka wao wanakuja.
 
gombesugu

 

kaka wapi mimi natako haina umuhimu sana,lakini nitakwambia kuwa umejijibu mwenywe katika hapo nilipoweka red,na hicho ndicho kitu ninachojaribu kuongelea hapa

haya ninayoyaongea hapa nimesoma kwenye vitabu,nimefanya utafiti wangu mwenyewe,lakini namshukuru sana bibi yangu ukoo wake ulikuwa unatokea kisiwa kimoja kinaitwa Tumbatu pale Unguja kutoka na hadith zake alizozisikia kwa bibi zake na kutuhadidhia sisi wajukuu zake ndio nimepata picha kamili ya zanzibar na wazanzibari

kama umesoma vizuri hizi comments zangu nimeandika sehemu nyingi tu wako baadhi ya wazanzibar walikuwa wanamiliki watumwa lakini hakuna mzanzibari aliekuwa mtumwa,kwaufupi kama walikuwa watumwa basi wameletwa hao kutoka nje ya zanzibar,kama unawajua watumwa na unajua sehemu walipozikwa tayari nimeshajbu swala lako,kumbuka zanzibar lilikuwa soko kubwa la kuuza watumwa, watumwa walikuwa wakiletwa kutoka sehemu mbali za bara Afrika,sehemu kama kongo nk,mmoja kati ya wafanya biashara za watumwa alikuwa mswahili mmoja anaeitwa kwa jina la Tiptip huyu jamaa alikuwa na jeshi la watu 2000 ambalo alikuwa anaingia nalo ndani ya Afrika na kuchukua watumwa!!,Notorious

Nani wazanzibari nimeshaeleza kwenye moja za commets zangu,haina haja ya mimi kurudia kuandika tena hapa,Haya yote ninayoandika sio tu kama nimesoma bali pia ni history iliopo katika ukoo wangu,wazee wanaongea watoto tunasikiliza halafu tuna weka moja na moja tunapata jibu 😉

Sio kila mtu mweusi allikuwa mzanzibar na sio kila mwarabu alikuwa mzanzibari 😉
 
 

sasa mkuu unataka tufungue vitabu tisivopenda kuvihusisha na majadala huu, lakini kwa hilo sitofanya

however, the choice is entirely urs.............to believe or not
 
waarabu bado wana ndoto ya kurudi zanzibar kutawala wanasahau kuwa zanzibar ilikuwa soko la utumwa wao kwao ni Oman wasahau kabisa kurudi zanzibar hata muungano ukivunjika ndio watateswa zaidi maana waunguja bado wana usongo nao bila tanganyika mpemba asingekuwa rais wa zanzibar
 
rodrick alexander


hivo ndio huwa ninawasikia wanasiasa wetu wakiboboja,

nani alokwambia sisi wazanzibar tunaproblem na waarabu?

hao waunguja unaowataja ni wa zainzbara ni ndugu zenu kutoka tanganyika.

ikiwa hujui Oman iko wapi kimaisha si utizame mitandao tu, mbona viongzi wetu wanakwenda kuomba oman kila muda, kwanini wasiende itali kwa mabosi wao kuomba?

baada ya muungano ikiwa oman itataka imrejeshe jemshid niambie wewe mtanganyika utafanya nini? au munauwezo wa kushindana na petro dola?????
 
warabu wapo busy sana...fikra zao na za ponda ni sawa..wameunga vipande....na wametafsiri km sheikh yahaya..kwao uongo ni sunnah
 
mimi nina hamu sana muwe nje ya muungano lakini mkishatoka hatutaki wakimbizi kwani mtoto akililia wembe mpe bado mnawaza kuwa mkishakuwa nje ya muungano waoman watawafadhili kila kitu lakini huu muungano ndio unawafanya muwe huru kwani karume si alishaanza kuwashikisha adabu kama sio Nyerere wote ama mngeteketea au mngekimbia
 

Kwa taarifa yako hata kama video ilikua shot in black and white sasa hivi wataalamu wanaweza ku digitally remaster ili ziwe katika rangi. Vita kuu vyakwanza na vyapili, footage zipo in colour. Kwa hayo mengine naona niishie hapa maana naweza andika insha kukujibu.
 

hizo ni fikra za mitaani tu, ukweli huwa vyengine

and opposite is always true

wewe kaka ukija znz tutakupokea kwa mikono miwili
 

Bin fadha uko juu tunakuhitaji zaidi na nakupa mia mia hii sentes yako ya mwisho umenena, na tunakushkuru kwa kuwaelimisha Wanafunzi wa Tanganyika historia yetu iliyosimama, yenye ukweli, bin fadha popote ulipo tunakuomba uanzishe blog,au forum tupungue kuasiriwa na historia hii iliyobuniwa baada ya mapinduzi, inashangaza sana kusema zanzibar waarabu walikua wanawatesa watu wakati hata vikundi vya Taarabu vinasherekea miaka 100 tangu vianzishwe.
 

Hiyo ya kina Okello na Karume na Babu ni ya BBC na hata mwandishi wake anajulikana kwa jina, sijawahi kuitilia mashaka
 
Nicholas

warabu wapo busy sana...fikra zao na za ponda ni sawa..wameunga vipande....na wametafsiri km sheikh yahaya..kwao uongo ni sunnah

Kwani sheikh yahya na yeye alikuwa mwalabu,

kwani kuna kosa mtu kuwa mwalabu?

kwani kuna kosa mtu kuwapenda waarabu?
 
Nyerere bila ya kuwagawa wazbr asingeweza kupitisha ukoloni wake z'br,kwa miaka ya hivi karibuni mbinu ya kuwaga z'br haifanyi kazi tena,watanganyika hata wafanye vipi hawawezi tena kuuficha ukweli,zanzbr kwanza porojo baadae.
 

Daaah ! Hii kesi ya mauaji ya kimbari umewauzia Watanganyika ?
We nI nouma aiseeh !.....tafuteni sababu nyingine ya kuvunja muungano bana !
 

Benz; Ahsante Nakushukuru. Ninazo baadhi ya documentary zilizowekwa rangi kwa mtindo unaosema. Lakini huwa hazina "LUSTER" kama original pictures.

Zanzibar Revolution 1964 - YouTube

Ile video ya kwanza ndio hii hapa wanaanzia uwanjani. Waligundungua hawajaweka hata sound tracks ndio wakaanza tena editing na kuingiza sauti ya kiitalia nk. Benz, hizo rangi za hiyo ndege mzee wangu ni original siyo digitally remastered na 1964 hakukuwa na camera za megapixels kama za sasa. Hawa ni waitalia 1964, wao wana color video graphy BBC hawana!!!

Kule makaburini wanaranda na HELIKOPTA!!!! sio ndege tena hii sijui waliiacha wapi maana uwanjani ilkuwa zogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…