Haya ndio maumivu au uchungu wa kifo unaompata mtu anayekufa 'Sakaratul-Mauti'

Ni kama vilevile majeshi hupiga mazoezi makali, kwa ajili ya kutishia watu na kutishia nchi jirani badala ya kuhimiza amani kwa watu wake.
Kila jambo lina hekima zake Boss. Hata mwanao anapokengeuka lazima umkumbushe kwamba kuna kesho.
Umewahi kujiuliza hayo majeshi yange ishi vp bila uhalifu? Uhalifu unatakiwa kuwepo ili nao wapate kazi
 
Rejea kwenye mada Mkuu, huko unakoelekea utachanganyikiwa zaidi, turudi kwenye mada hii nyepesi maisha ya baada ya kufa, na mambo ya yanayotokea wakati wa kufa ndio mzizi wa mada.

Wakati WA Kufa hakuna kinachotokea. Hakuna maumivu yoyote Wakati MTU anakufa.

Ukimchinja MTU Yale maumivu anayoyapata sio Kwa sababu anakufa Bali ni Kwa sababu unamchinja na kukata kikatili nerves, ndio maana anasikia maumivu.

Mtu anapokufa labda Kwa kukosa hewa, anaumia Kwa sababu mapafu yanakosa hewa na sio Kwa sababu anakufa.

Hicho ndicho najaribu kujieleza kuwa Hakuna uhusiano wowote baina ya Kifo na maumivu.

Ukimpiga mtu risasi ya kichwa hawezi kusikia maumivu Kwa sababu maumivu yanatafsriwa na ubongo.
Mtu anapoungua Kwa Moto mpaka akafa, maumivu anayoyapata ni Kwa sababu ya Moto unaomchoma na sio Kwa sababu anakufa.

Jambo moja iweke akilini ni kuwa, kuna madawa yenye kemikali ukipewa umeze ambayo yatazuia Receptors ili ubongo ushindwe Kupata taarifa (impulses) na kuzitafsiri) MTU anaweza asihisi chochote hata ukimkata kichwa. Ni kama MTU aliyepooza upande mmoja.

Aliyeandika hicho kisasili hakuwa na Elimu ya mfumo wa ufahamu
 
Mabikra 72 na mito ya pombe huwa ni baada ya muda gani muislamu akifa?
 
Ahsante kwa ukumbusho ndugu.
 
Ni kama vilevile majeshi hupiga mazoezi makali, kwa ajili ya kutishia watu na kutishia nchi jirani badala ya kuhimiza amani kwa watu wake.
Kila jambo lina hekima zake Boss. Hata mwanao anapokengeuka lazima umkumbushe kwamba kuna kesho.
Hapana sio kweli, huwezi kumfanya mtu akawa mwema kwa kumtishia. Zaidi zaidi ataigiza wema tu maana wema hutoka ndani ya mtu kwa kuamua mwenyewe. Mungu hajasema tuwe wema ili tusiteseke na adhabu bali tuwe wema kwa kuwa ndivyo impendezavyo.
 
Acha kutisha watu wewe, unapata faida gani kusema uongo?

Haya ni mauongo ya dini tu ili kukamata akili za watu ambao hawajajiandaa kikamilifu.

Nmejiandaa kikamilifu kuskia hadithi hizi.

Hazina mashiko
 
Wewe Mzee wa Elimu ya dini huwezielewa haya 🤪😆

Sayari zote zinaonekana kwenye darubini ila kuzifikia ndio shida
Mkuu, Sayari ya Mars, Venus na Jupiter zinaonekana hata bila darubini.

Hiyo Mars akitaka hata kesho ataiona mimi nitamuelekeza itapokuwepo.

Itakuwa karibu na sayari ya Venus mida ya saa 1 kamili kama jua litakuwa limezama, ataiona kama nyota nyekundu nyekundu hv.
 
Mimi sijakataa hayo, nakuuliza wewe umewahi kushuhudia hayo au unafuata mikumbo ya watu na kunakili vitabu?
Sayari ya mars inaonekana kwa macho,
Ni kwamba hujui tu kuwa ile ndiyo sayari ya Mars
 
Acha kuongopa tafadhali, umewahi kuiyona hiyo MARS kwa jicho lako?
Mkuu hata leo sayari ya mars unao uwezo wa kuiona.

Mimi nimeiona, na huwa nazifuatilia hzo sayari.

Na nnajua namna ya kuzitambua.

Unaongea hivi kwasababu tu hujapata elimu hii ya anga na sayari.

Kuna sayari ziko angani watu hudhani ni nyota tu.
 
1 Wakorintho 15:56
Uchungu wa kifo ni dhambi, na nguvu ya dhambi ni sheria.
Hapa ndiyo huwa naona dini ya uislamu ina mapungufu mengi na haijakamilika.
1. Uislamu haujitegemei na haujitoshelezi kimafundisho ndiyo maana hata waumini wao wakichalenjiwa kidogo tu hukimbilia kwenye Biblia. Hawezi kukutolea mstari kwenye Quran
2. Waumini wao ni weupe sana vichwani kwasababu ya lugha, hapo ametoa maelezo kuhusiana na kifo lkn hakuna hata aya moja aliyoweka inayoelezea kifo. Ndiyo maana hukimbilia kwenye Biblia Takatifu. Waislamu wengi wanaijua Biblia kuliko hata Quran
3. Quran imeandikwa kiujanja tu. Unamuaminije mtu ambaye hajui kusoma na kuandika halafu akaoa binti wa miaka 12? Sheria inasemaje? Ukitaka kuthibitisha hilo Soma habari za Yesu kuzaliwa, kuteswa mpk kufufuka na kupaa halafu huyu huyu wanasema ndiye Issa lkn alizaliwa chini ya mtende. Uongo uliowazi, kati ya Biblia na Quran ipi ilianza?
4. Ukitaka kuona Quran imefungamana na ushirikina, fuatilia jinsi Al badili inavyosomwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…